Kwanini wake za watu hawapendi kutumia Condom?

Kwahiyo wanapenda AKAPELA....nilickia kuna baadh ya watu wanasema km ukisex kwa kutumia condom ni rahis mume kugundua cku hyohyo lkn,Cjui km kuna ukwel
 
h
apo patamu mno...atagunduaje? hebu wasaidie watu wasiendelee kuibiwa kirahisi...namna ya kugundua kuwa kitu imegongwa..
 
Kwahiyo wanapenda AKAPELA....nilickia kuna baadh ya watu wanasema km ukisex kwa kutumia condom ni rahis mume kugundua cku hyohyo lkn,Cjui km kuna ukwel
 
Hivi matumizi ya condom yanasababisha utamu nusu nusu?
Kazi yote ya HIV campaigns iliyofanywa nchi hii bado kuna watu wanasema condom use ni utamu nusunusu??

ah wewe unabisha bure tuu...research ilishaonyesha kuwa mwanamke ambaye anaruhusu mwanaume kukojolea ndani ya K yake ana enjoy tendo 30% more than yule ambae hafanyi hivyo...sasa na ili mwanaume akujoe ndani ya K yako si lazima asitumie condom...so utamu upo unapungua na condom..hilo sio lakubisha kabisaaaaaaa
 
nimependa sana hiyo research...ndio maana.....!
 
Kwahiyo wanapenda AKAPELA....nilickia kuna baadh ya watu wanasema km ukisex kwa kutumia condom ni rahis mume kugundua cku hyohyo lkn,Cjui km kuna ukwel
yaani ungefanya la maana kama ungesema ni jinsi gani mwanaume anavyoweza kugundua kama mke wake amechit...ingewasaidia sana watu humu ndani kunyoosha ndoa zao...lakini kama wanawake wanawake wanajua kuwa wakitumia kondom wanatambulika...ndio maana!!!
 
Ni suala la mazoea tu mtu kila siku ana-do plainly na mme wake kwahiyo condom sio kitu anachokikumbuka. Pili raha ya beach uvue viatu eboh!
 
siyo wazinzi.bana...wanawapa raha wale wanaokosa hiyo raha...siyo fair kuwaita wazinzi!!!

teh teh teh, unajua unaweza ku-justify anything provided huna standard set of morality to which you can refer to. By the way huo ni uzinzi regardless of what the participants claims to gain in it.
 
Hii sasa ni hatari, hivi nini kinachoendelea katika hii jamii?

Hivi ni kwanini wanawake walio kwenye ndoa wanapoamua kutoka nje ya ndoa hawapendi kutumia kinga wakati wa kufanya zinaa?

Ni kwanini hawahurumii uhai wao?
Ngoja wenyewe warudi nadhani wameenda kuvunja amri ya sita, wakirudi tutawauliza kama wametumia au la.
 
halafu wakija watakuwa wa kwanza kujifanya kukanusha na kuomba source ya habari...
 
mambo ya"kungonoka"mnayachangia kana kwamba mmeahidiwa donge nono lol!
 
Back
Top Bottom