Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,744
Pindi anapoamua kutoka nje ya ndoa tu ni kwamba ameshaacha kujihurumia, nini kutumia kinga?Hii sasa ni hatari, hivi nini kinachoendelea katika hii jamii?
Hivi ni kwanini wanawake walio kwenye ndoa wanapoamua kutoka nje ya ndoa hawapendi kutumia kinga wakati wa kufanya zinaa?
Ni kwanini hawahurumii uhai wao?