hiyo ni research ya muda mrefu ndgu zangu...tena ukifanya neye ukatumia zana hatapenda mrudie tena illa ukienda kavukavu atakung'ang'ania huyo paka mwenyewe uchanganyikiwe...
Washkaji wako wa Nguruka wanakusalimu sana!!!
HIV infection rate at Nguruka stands at 7 out of 10 people...........Nenda pale Nguruka Health Center ukaangalie HIV Test results za PITC, PMTCT, VCT utaona mambo yenyewe!!! Mtego wa Noti...........waambie watu wa kwenu waache kuchapana hovyo hovyo
kwan wake za watu si wapo kila eneo? kuna sehemu ambako hawapo?
kwa hiyo we hujawahi ku-do na mke w mtu?...believe me or not...hawapendi zana...once upon a tyme zana iliniishia nikdhani atasema basi lkn ndionikaona anarukia muhogo tena kwa shangw na nderemo...ina maanisha nini iyo?...na siyo huyo tu...wengine nawagomea...Wanaonekana ndio sijakataa ila kuhusu kutotumia condom sijaelewa coz wat i knw hili jambo hufanyika kwa kificho.
inapunguza uwezekano wa kupata maambukizi ya vvu.hulijui hilo?Kwani condom inalinda uhai wa mtu?
Mtego wa Noti we umejuaje hawatumii kinga?
Nahisi wewe ndiye mwenye jibu sahihi.
is it??
Wanafanya zinaa bila kondomu na wanawake wenzao???
Hii risechi ya wapi?
wewe umejuwaje kuwa wanawake walio wengi wakitoka nje ya ndoa hawapendi kutumia hiyo mipira au ndo wewe unawahusisha na wake za watu wasio na hatia
kuwa muwazi
nawasilisha
by MAJUTO
hahahaa........Hizi ni zenyewe kabisa mkuu Mtego wa Noti.......au nikumegee kidogo uone??ni kigoma, jimbo la kafulila..hizo data zake bigirita siyo zenyewe