Kwani Uganda ni kwao?,nasikia ilipangwa na wakubwa kuwa waisrael watafutiwe eneo uganda na kuhamishiwa hapo. hilo ndo lingekuwa taifa lao. ajabu nasikia ni waisrael wenyewe walioanza kuukataa katakata mpango huo. wajuzi naomba mnijuze;
1. kwanini hawa jamaa walikataa kuhamia uganda kwenye mito na ardhi yenye rutuba tele na kukubali kule middle east kwenye joto kali na migogoro isiyokwisha?!!! au kuna kitu wanafahamu kuhusu afrika ndo maana wakajikimbilia zao?
2. mnafikiri kama wangepewa kipande flani cha ulaya, amerika au asia wangekataa pia? wajuzi naomba mnieleweshe kidogo maana sielewi elewi (nahisi kama afrika kuna jambo flani la giza hv (litatokea) na hawa jamaa weupe wanalijua vizuri).
karibuni kwa kutoa elimu!
Walipewa eneo na UN acha ubishi na hii ilikua ni kabla ya mwaka 1948 ambao ni mwaka nchi ya israel ilianzishwa kama sikosei, kabla ya hapo walikua wanaishi Germany na nchi nyingine za ulaya ila kutokana na mateso ya adolph hitler wakaomba UN iwatafutie eneo na walipewa Uganda lakini walikataa, baada ya kutokubali kwenda Uganda wakaamua kwenda eneo ambalo wapo leo hii kwa kufuata hadithi za kwenye Bible na wakawakuta wapalestineHakuna kitu kama hicho ulikoambiwa umedanganywa kabisaaa
Kwani hao jamaa kwao hasa ni wapi mkuu,na ilikuaje wakapatelekeza wote mpaka vibabu na kwenda kutangatanga huko kwa HitlerWalipewa eneo na UN acha ubishi na hii ilikua ni kabla ya mwaka 1948 ambao ni mwaka nchi ya israel ilianzishwa kama sikosei, kabla ya hapo walikua wanaishi Germany na nchi nyingine za ulaya ila kutokana na mateso ya adolph hitler wakaomba UN iwatafutie eneo na walipewa Uganda lakini walikataa, baada ya kutokubali kwenda Uganda wakaamua kwenda eneo ambalo wapo leo hii kwa kufuata hadithi za kwenye Bible na wakawakuta wapalestine
una miaka mingapi uliyobarikiwa kuishi hapa ulimenguni hadi kufikia leo?Source ya ulichokiandika ni ipi mzee wangu
ahsante sana mkuu, nafikiri wabishaji hapo juu wamepata majibu murua🙏🙏🙏The Uganda Proposal (1903)
Encyclopedia of Jewish and Israeli history, politics and culture, with biographies, statistics, articles and documents on topics from anti-Semitism to Zionism.www.jewishvirtuallibrary.org
ahsante sana kiongozi kwa elimu hii....akiendelea kubisha tena basi atakuwa mshindi wa ubishi na tutamtafutia mji kama zawadi; binafsi nampatia chato!Walipewa eneo na UN acha ubishi na hii ilikua ni kabla ya mwaka 1948 ambao ni mwaka nchi ya israel ilianzishwa kama sikosei, kabla ya hapo walikua wanaishi Germany na nchi nyingine za ulaya ila kutokana na mateso ya adolph hitler wakaomba UN iwatafutie eneo na walipewa Uganda lakini walikataa, baada ya kutokubali kwenda Uganda wakaamua kwenda eneo ambalo wapo leo hii kwa kufuata hadithi za kwenye Bible na wakawakuta wapalestine
hata sina mashaka na imani yangu, nina mashaka na hatua yao ya kukataa ardhi nzuri na eneo lenye amani.Kama wewe ni muislam au ni mkristo unajua kabisa kwamba israelites kwao ni pale Jerusalem na huo ugomvi wao na hao ndugu zao wa kambo ni 5000 iliyopita unless una mashaka na imani yako
Hakuna kitu kama hicho ulikoambiwa umedanganywa kabisaaa
mi pia hapo sielewiSasa kama wapalestina ni ndugu zao,na wa Wapalestina ni Waarabu kabisa inakuwaje waka transform kutokana kwenye Uarabu hadi kwenye uzingu?
Bora hawakuenda Uganda, maana wangeanzisha migogoro mingi kama South AfricaWalipewa eneo na UN acha ubishi na hii ilikua ni kabla ya mwaka 1948 ambao ni mwaka nchi ya israel ilianzishwa kama sikosei, kabla ya hapo walikua wanaishi Germany na nchi nyingine za ulaya ila kutokana na mateso ya adolph hitler wakaomba UN iwatafutie eneo na walipewa Uganda lakini walikataa, baada ya kutokubali kwenda Uganda wakaamua kwenda eneo ambalo wapo leo hii kwa kufuata hadithi za kwenye Bible na wakawakuta wapalestine
ni kweli, na tulivyo na uwezo duni wa kila kitu hadi kufikia leo wangekuwa na linchi likubwa kweli kweliBora hawakuenda Uganda, maana wangeanzisha migogoro mingi kama South Africa