Kwanini Waislam hawajifunzi?

majibu ya waislam na katiba mpya iliyokuwa inapendekezwa yalishatolewa na Marehem sheikh Ilunga

tazama kuanzia dakika 7 onwards

 
Sheikh huyu utamkuta anamfagilia Makonda, bila kujua Makonda alimtwanga mangumi mzee wetu Warioba aliyekuwa anatuletea katiba bora ya kupunguza madaraka yaliyopitiliza ya Rais.

Maadam naye alimpigia kampeni anko Magu, mwache dawa imuingie. Na ataisoma namba sana. Kama vipi anywe maji kama Shigongo.
 
Boss umeongea point sana.sema hawa jamaa hawaaminiki ni wanafiki,hawana umoja,wanasalitiana kila kukicha.mfano ishu ya Zanzibar wote wanaabudu nyumba moja ya ibada.lakini wanafanyiana unafiki bila kificho.huku Bara kuna Bakwata iliyokubali kuwa Tawi la Chama/Serikali mpaka wanajengewa ofisi.wanaombewa msaada wa mskiti kwa Mfalme kama kipaumbele cha taifa, Wapo waislam wanaojimbua ila hawana platform ya kueleweka.pia Hawaweki vipaumbele kujenga mashule ili waelimike.wanakomalia miskiti kwanza watoto wao Elimu muhimu kwao ni vyuo vya Dini.sasa ukuu wa mkoa/wilaya/ukurugenzi na Elimu za madrasa wapi na wapi.
 
Ngoja tumwalike yule Bi Mkubwa wa mitaa ya Tandamti FaizaFoxy labda atatusaidia kiduchu baada ya kuisoma namba vyakutosha.
 

Mkuu,,,,,,una uhakika na unachokisema.......??????
Prof Safari,,,,,Mwalimu,,,,,to mention a few........hawa pia walutheri.........??????
Kwa nini kuwagawa watanzania kwa misingi ya udini.....?????
Tanzania ni moja, na ni yetu soteeee.........!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Km hakuna mbadala mbona mnali lia sasa?
Haya tukianza kudai katiba, ,mnakuja juu, mnasema hakuna sehemu Raisi kazungumzia katiba.
Mkae kimya tu km mnaona katiba siyo chochote.
Mtu anakataa fimbo yy mwenye, anajichalaza halafu anaanza kulalamika. Hii ndiyo nchi ya viwanda.

MUA
 
Ngoja tumwalike yule Bi Mkubwa wa mitaa ya Tandamti FaizaFoxy labda atatusaidia kiduchu baada ya kuisoma namba vyakutosha.
Huyu mama huwa simwelewi. Anang'ata na kupuuliza.
Sasa hiv analalamika udini kwenye chama chake. Tukiwaambia suluhu hayo matatizo ni katiba.
Anakuja juu, oh hakuna sehemu ambayo mkuu ametaja katiba na haipo kwenye ilani ya ccm.
SASA ANALALAMIKA NN? MKAE KIMYA TU DAWA IWAINGIE VIZURI
Mwambie aje upinzani huku kuna unga wa rutuba.
 
Nawaomba mjenge mashule ya kisasa na mahospitali PIA mjifunze kazi za kufuga na kuliko kama miradi ya dini nyingine ...tusing'ang'anie kuteuliwa na kucheza bao/drafti
 
Afadhali tuiunge mkono ccm manaake hao Chadema ndio kabisaa watatulazimisha kula kitimoto.
Km hauli kitimoto ni ww tu. Wafrika ni watu waajabu sana.
Usichokula ww, wengine wala. Hiyo kitimoto natumia sana, ni tamu sana. Ukila na ugali
ha ha ha halafu unashushia na kinywaji baridi.
Mbona ww unakula pweza mm sili?, watu wanakula nyoka, binadamu, kambale, kenge, kobe lkn haujasema.

USICHOKULA WW, WENGINE WALA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…