Usipoiunga mkono CCM unamuunga nani na vyama vyenyewe vya upinzani ndio hivi ambavyo havina malengo ya kwenda IKULU? Vinaacha Sera zao za msingi, havina wagombea wenye sifa na vimejijenga katika Propaganda rahisi ambazo hata mtoto mdogo atashtuka tu!!!!Sina hakika ninachokiandika kitawafikia wahusika lakini baada ya kuona threads mbili
zinazo mhusu Sheikh Khalifa akimlaumu Magufuli kwa udini wa kupendelea wakristo wenzie
nimeona nichangie kidogo....
Sheikh Khalifa amekuwa akizungumza haya toka wakati wa Mwinyi ndo Rais
cha ajabu alipoingia Kikwete Ikulu sheikh Khalifa akanyamaza kimyaa
kuzungumzia msalahi ya waislam...na mara kwa mara alikuwa
akimualika Kikwete msikitini na alishiriki kuwapigia kampeni wote
Mkapa,Kikwete na Magufuli....
Sasa leo anaanza kuongea haya haya aliyo yaongea zaidi ya miaka 20 iliyopita
na watu wanamshangilia.....
maswali ya kujiuliza ni haya?
je ni lazima waislam waiunge mkono CCM?
why kila mara malalamiko haya haya lakini ukija uchaguzi hawa hawa kina Khalifa
wanaipigia debe CCM?
Je masuala ya uteuzi hasa teuzi za wakuu wa mikoa na wilaya...si masuala ya kikatiba?
si katiba ya Warioba kwa mfano ilipinga Rais kuteua wakuu wa wilaya?
je kina Khalifa walikuwa wapi kuwashawishi waislam waunge mkono katiba ingine ambayo
itaondoa Rais kufanya teuzi? na wananchi wakiwemo waislam kuja kuchagua
viongozi moja kwa moja?
Nionavyo mimi badala ya kumbembeleza Magufuli au Rais yeyote kuteua wakuu wa wilaya
waislam na wakuu wa mikoa waislam....ni bora hizo nafasi ziwe za kuchaguliwa kwa kura
na wananchi wachague wanaeona anawafaa....
Suluhisho la madai ya teuzi kwa waislam ni katiba ambayo itawapa wananchi nguvu ya kuchagua wanao wataka ngazi za mikoa na wilaya....
Rais apunguziwe mamlaka ya kuteua watu wengi ambao wengine ndo kama hivyo asilimia 95
ni wa dini yake...........
Hivyo ili hilo lifanyike waislam waungane na wote wanaopenda demokrasia kudai katiba mpya
ambayo wananchi watakuwa na nguvu na katiba itakayoleta tume huru ya uchaguzi...
hili la kumlalamikia Magufuli linapaswa kukomeshwa...Nyerere alalamikiwe
na Magufuli pia? madai yale yale miaka zaidi ya 30?
waislam hawajifunzi kitu?
Usipoiunga mkono CCM unamuunga nani na vyama vyenyewe vya upinzani ndio hivi ambavyo havina malengo ya kwenda IKULU? Vinaacha Sera zao za msingi, havina wagombea wenye sifa na vimejijenga katika Propaganda rahisi ambazo hata mtoto mdogo atashtuka tu!!!!
Sina hakika ninachokiandika kitawafikia wahusika lakini baada ya kuona threads mbili
zinazo mhusu Sheikh Khalifa akimlaumu Magufuli kwa udini wa kupendelea wakristo wenzie
nimeona nichangie kidogo....
Sheikh Khalifa amekuwa akizungumza haya toka wakati wa Mwinyi ndo Rais
cha ajabu alipoingia Kikwete Ikulu sheikh Khalifa akanyamaza kimyaa
kuzungumzia msalahi ya waislam...na mara kwa mara alikuwa
akimualika Kikwete msikitini na alishiriki kuwapigia kampeni wote
Mkapa,Kikwete na Magufuli....
Sasa leo anaanza kuongea haya haya aliyo yaongea zaidi ya miaka 20 iliyopita
na watu wanamshangilia.....
maswali ya kujiuliza ni haya?
je ni lazima waislam waiunge mkono CCM?
why kila mara malalamiko haya haya lakini ukija uchaguzi hawa hawa kina Khalifa
wanaipigia debe CCM?
Je masuala ya uteuzi hasa teuzi za wakuu wa mikoa na wilaya...si masuala ya kikatiba?
si katiba ya Warioba kwa mfano ilipinga Rais kuteua wakuu wa wilaya?
je kina Khalifa walikuwa wapi kuwashawishi waislam waunge mkono katiba ingine ambayo
itaondoa Rais kufanya teuzi? na wananchi wakiwemo waislam kuja kuchagua
viongozi moja kwa moja?
Nionavyo mimi badala ya kumbembeleza Magufuli au Rais yeyote kuteua wakuu wa wilaya
waislam na wakuu wa mikoa waislam....ni bora hizo nafasi ziwe za kuchaguliwa kwa kura
na wananchi wachague wanaeona anawafaa....
Suluhisho la madai ya teuzi kwa waislam ni katiba ambayo itawapa wananchi nguvu ya kuchagua wanao wataka ngazi za mikoa na wilaya....
Rais apunguziwe mamlaka ya kuteua watu wengi ambao wengine ndo kama hivyo asilimia 95
ni wa dini yake...........
Hivyo ili hilo lifanyike waislam waungane na wote wanaopenda demokrasia kudai katiba mpya
ambayo wananchi watakuwa na nguvu na katiba itakayoleta tume huru ya uchaguzi...
hili la kumlalamikia Magufuli linapaswa kukomeshwa...Nyerere alalamikiwe
na Magufuli pia? madai yale yale miaka zaidi ya 30?
waislam hawajifunzi kitu?
Hatutaki walutheri tunataka wakatholiki.Asante kwa mchango wako.Jibu ni rahisi tu, hakuna mbadala wa CCM na hicho ndicho kinachowafanya siyo tu Waislamu bali Watanzania wengi tu, haya kwa mfano waitose CCM waende wapi, Chadema kwa Walutheri? Kwa maana hata CUF nayo iko chini ya Walutheri chadema, sasa watakuwa wamefanya nini?
Hivyo CCM ndo Baba ya Tanzania, na pmj na mapungufu yake yote lkn hakuna Chama kinachoweza kusimama na kuaminika kama CCM, hiyo ndiyo sababu ya Muhammedana kuipigia kura CCM!
Hawa waache tu wanabdilika Kama kinyonga..tukomae tu na Magu hamna namnaUsipoiunga mkono CCM unamuunga nani na vyama vyenyewe vya upinzani ndio hivi ambavyo havina malengo ya kwenda IKULU? Vinaacha Sera zao za msingi, havina wagombea wenye sifa na vimejijenga katika Propaganda rahisi ambazo hata mtoto mdogo atashtuka tu!!!!
Wao ndio wameingia kwenye catch 22Huwezi kuona kitu ni mali yako
halafu kila siku unakilalamikia