Kwanini wahaya wanaogopwa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini wahaya wanaogopwa?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bujibuji, Dec 22, 2009.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Dec 22, 2009
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 32,251
  Likes Received: 15,049
  Trophy Points: 280
  Kwa wakazi wa dar es salaam,
  ukienda kutafuta nyumba mwenye nyumba anakuuliza wewe ni kabila gani?
  Ukisema kuwa wewe ni muhaya anakwambia hapangishi wahaya.
  Ukitafuta msichana anakuuliza wewe ni kabila gani, ukisema mhaya uhusiano unafutika kama mshumaa kwenye upepo....na namba yako ya simu anaifuta.
  Ukienda kuomba kazi ukisema tu kuwa wewe ni mhaya..
  Au jina lako likiwa la kihaya inakuwa ngumu kwelikweli kupata kazi...(labda ushikwe mkono)
  kwenye chaguzi mbalimbali ukisema kuwa wewe ni mhaya yanaanza kujengwa makundi ya kukuporomosha na kukuchafua...
  Hivi ni kwanini yote haya yanawatokea wahaya tu?
   
 2. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #2
  Dec 22, 2009
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,610
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Wewe ni muongo mie napenda sana mademu wa kihaya kwanza wana maumbo mazuri na wanaijua shughuli ya kumegana vizuri kwelikweli . Kinachowafanya kutokubalika 100% katika jamii ni majivuno na majigambo yasiyo na maana mfano ni yule muhaya wa kipindi cha ze komedi!
   
 3. Katibukata

  Katibukata Senior Member

  #3
  Dec 22, 2009
  Joined: Dec 27, 2007
  Messages: 183
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Swala la kumegana na majivuno ni la mtu binafsi na si la kabila fulani. Kwani ni kabila gani linakubalika 100% ??

  Hapa sioni hoja!!
   
 4. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #4
  Dec 22, 2009
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,940
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145

  Sasa hapa umekubaliana na hoja au umeipinga? tukuweke kundi gani?
   
 5. K

  Kashaija JF-Expert Member

  #5
  Dec 22, 2009
  Joined: Aug 7, 2008
  Messages: 256
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Bujibuji, umechemka!! Hivi huna hoja ya msingi ya kujadili mpaka uchambue makabila ya watu?
   
 6. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #6
  Dec 22, 2009
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,533
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  achana na hao watu...wanapenda sana kumega/kumegwa nnje tena bila usalama wowote...ngoma nje nje hapo...
   
 7. M

  Magezi JF-Expert Member

  #7
  Dec 22, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,813
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 145
  Tangu umejiunga JF sijawahi kuona umetoa mawazo yanayo jenga mwananchi ila unaweka porojo ambazo huwa maranyingi ni za kuongelea kilabuni.
   
 8. K

  Kabonde JF-Expert Member

  #8
  Dec 22, 2009
  Joined: Aug 12, 2008
  Messages: 421
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Bujibuji umenena kweli wahaya ni wabinafsi sijapata kuona hawa jamaa Nyerere aliwastukia siku nyingi.kwa upande wa ngono usiseme kitu hapo umewafikisha nyumbani unafikiri ni kwanini ukimwi ulitamalaki Bukoba ?,Ni kwasababu ya kupenda jigijigi unajua kuna kale kamchezo kao wanakaita katerero ndio kamawafanya waabudu jigijigi.


  Tangu lini Mhaya akakata jigijigi,ukikataliwa na Mhaya nenda kaoge na maji ya baharini.  Wewe inaelekea huwajui wahaya kabisa ni kabila la wapenda jigijigi hujapata kuona.  Vipi mbona unakuwa mkali jibu hoja wacha kukimbilia mtu.Hakuna porojo wala nini ukweli unabaki ni ukweli wahaya wanajulikana kwa sifa ya ...................
   
 9. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #9
  Dec 22, 2009
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,904
  Likes Received: 281
  Trophy Points: 180
  Ha ha ha!! Bujibuji in fwakti watu wengi wana inferiority complex wakimuona Mhaya Buana!!
  Sisi ni nshomire for real!
  Nina Phd na siyo feki kama ya waziri fulani, jirani yangu wa Kakiziba naye ana Phd ya marine sciences.
  Pale Kigarama kaka zangu wengi tu tunashindama kusoma.
  Sisi tuna confidence na hatuheshimu mtu asiyejiamini.
  IQ zetu ni excellent, tunaweza kuona loopholes zinazomaanisha pesa katika kila mkataba!We make very good lawyers and advocates.
  Pale kijiji cha Kanyigo kuna wahandisi waliobobea katika fani hiyo.
  Sasa nashindwa kuelewa tatizo lako maana sisi tunaweza kukaa mahali popote na mtu yeyote bila kuogopa.
  Kama ulikimbia umande, then I am very soooorry!!
   
 10. _ BABA _

  _ BABA _ JF-Expert Member

  #10
  Dec 22, 2009
  Joined: Nov 23, 2009
  Messages: 204
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mie nafikiri kabila linalokubalika 100% hapa ni wanyiramba wale wa singida.... mie nawazimia sana wale jamaa mazee, dada zao ni wazuri na hata kaka zao ni mahandsome.
   
 11. RUTAJUMBUKIRWA

  RUTAJUMBUKIRWA Senior Member

  #11
  Dec 22, 2009
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 185
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nilivyoenda kuomba kazi kwa mara ya kwanza shemeji yangu alinambia 'utapata kweli? make wahaya hatupendwi'. Nilipokaribishwa nyumbani kwa demu, akanifanyia introduncement, baadae akasema eti mama yake nguvu ziliisha aliposikia mie mhaya! jamani, acheni ukabila nyinyi makabila mengine!!!!!!!!!!!!!
  Sasa ukitaka kazi, kwa uhakika, mwjiri awe mgeni hasa mzungu. Hapa mhaya atawagalagaza ma candidate wengine. Lakini ikiwa shirika la kibongo, wana disregard elimu yake bora, kimombo, confidence, exposure na kumpa mtu ambaye hastahili.

  Hata hivyo siwezi kusema hawapendwi, bali they are taken seriously, kwasababu wako juu kielimu na ujuzi!
   
 12. P

  Patrick Nyemela JF-Expert Member

  #12
  Dec 22, 2009
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 330
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Si wahaya wote wana matatizo lakini wale wachache wameharibu kabisa jina la kabila hili. Hao wachache ni matapeli wakubwa mijini, wanajifanya wamesoma zaidi, maisha bora na wanapenda kesi kuliko hata jamaa zangu wa kipare.

  Vile vile madangulo ya kwanza kabisa Dar yalianzishwa na wahaya ''mugambire enough'' hivyo wenye nyumba bado wanafikra kuwa kale kamchezo katafanyika katika nyumba zao.
   
 13. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #13
  Dec 22, 2009
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,830
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Kuna kina dada wa kihaya wapo hapa kazini ni Bomba mbaya hahahaha, mie sioni kama wana kasoro Kiasi cha kuwatenga, nna mshkaji wangu tuliingia naye JOB ni mhaya mbona hana matatizo?unashirikiana vizuri, Ingawa kweli wana majigambo lkn ukiwa makini hawaku affect chochote, baba yangu mdogo alioa Mhaya na waliishi vizuri tu na watoto wake wawili wa mwisho na wao wamefuata tabia za huko BKB, lkn mimi sioni kama wakiwa na mie zina ni affect
   
 14. M

  Marigwe JF-Expert Member

  #14
  Dec 22, 2009
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 226
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Wahaya mnaogopwa because you are very smart upstairs kwa wanaume and downstairs wanawake wenu. Hiyo ndiyo habari yenyewe. Mko masaa mengi mbele. Check kwenye EPA mlivyozimeza. Wazaramo na wengineo walikuwa wapi? Bado majigambo na majivuno na ushomile wee!!!!!!!!!!!
   
 15. K

  Keynez JF-Expert Member

  #15
  Dec 22, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 368
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45

  Kuna ukweli katika unayosema lakini sidhani kama wanaJF wako tayari kujadili hii kitu bila jazba. Come to think about it, wahaya nadhani wangewezana na wakenya, lol.
   
 16. R

  Rubabi Senior Member

  #16
  Dec 22, 2009
  Joined: Nov 30, 2006
  Messages: 174
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mh haya sasa
   
 17. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #17
  Dec 23, 2009
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,212
  Likes Received: 4,009
  Trophy Points: 280
  Kwa Fikra zangu Wahaya wanaogopwa kwanza wao Wahaya katika Elimu huwa wamesoma Vizuri wengi wao na Wakiwa katika Uongozi wa juu hao Wahaya huwa na ubaguzi Fulani katika Madaraka kwa Mfano akiwa Mhaya ni Meneja Mkuu katika Shirika Au Kampuni fulani basi wachini wake atakuwa mhaya mwenzie au hata na watatu wake atakuwa pia mhaya Mwenzake hayo ndio Matatizo ya Wahaya kwa upeo wa macho yangu na hata Kabila lingine la Wachaga mambo yao yanafanana kama ya wahaya Ubaguzi wa katika Maofisini na kuwekana wao kwa wao peke yao katika uongozi wa hilo shirika au katika Kampuni utafikiri hilo shirika au Kampuni ni ya kwao wao hayo ndio mawazo na fikira zangu mimi
   
 18. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #18
  Dec 23, 2009
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 32,251
  Likes Received: 15,049
  Trophy Points: 280
  kwa hiyo wahaya, wanyakyusa na wachaga ni ndugu moja.
  kwao wote kuna kahawa na migomba
   
 19. Kaitaba

  Kaitaba JF-Expert Member

  #19
  Dec 23, 2009
  Joined: Jun 30, 2009
  Messages: 928
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  Wahaya wamesoma sana hivyo wanajua haki zao, uwa hawaonewi hovyo hovyo. ndio maana wanaogopwa, suala la ngono, fuatilia takwimu ya TACAIDS, utakuta mbeya wanaongoza kwa ukimwi, wanafuatiwa Iringa na Dar, wahaya hawamo hata kwenye top ten za ukimwi, upo

  Siku hizi hawamegwi hovyo hovyo
   
 20. Kandambilimbili

  Kandambilimbili R I P

  #20
  Dec 23, 2009
  Joined: Nov 11, 2008
  Messages: 782
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  UTAKUFA NACHO KIJIBA CHA MOYO.
  Infuakti hawa jamaaa hamtuwezi kitendo cha kila siku kutaka kutujadili sisi inaonyesha ni kwa kiasi gani tuko juuu na ni threat, bahati yenu BABU yenu aliyeiletea umasikini nchi hii alitupunguza makali. hizo fact zote mimi binafsi sijawahi kukutana nazo unless wewe ni mmoja wa WASWAHILI fulani ambao hamtaki hata kuwapangisha nyuma wanaume wenye wapenzi au wake.

  THE TRUTH is wahaya wanajua haki zao, hawako tayari kwa manyanyaso, sio kama nyie mnaonyanyaswa na wenye nyumba kama vile mnakaaa bure.
   
Loading...