Hii ni prejudice kubwa sana!Jamani kwa wasomi wote lazima tukubali mchango uliotolewa na wahaya kwanza kiroho,the late first african Cardinal,Laurean Rugambwa,top class secondary schools miaka ile,seminaries na madoctor wengi hapo Muhimbili ,bila kusahau good lecturers.
Tatizo kubwa Tanzania sasa sio Ukabila,bali elittism na udini.Tumeona mafisadi wengi ni mkabila mchanganyiko,kwa hiyo kuwalenga wahaya sio usuluhishi.
Tatizo kubwa Tanzania sasa sio Ukabila,bali elittism na udini.Tumeona mafisadi wengi ni mkabila mchanganyiko,kwa hiyo kuwalenga wahaya sio usuluhishi.