Kwanini wafanye hivyo! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini wafanye hivyo!

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by MONTESQUIEU, Mar 7, 2011.

 1. M

  MONTESQUIEU JF-Expert Member

  #1
  Mar 7, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 847
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nilibahatika kumsindikiza rafiki yangu duka la jeshi ambako anaamini wanauziwa bidhaa kwa bei ya chini.

  Maduka yote yanamilikiwa na wahindi, Nilichoona
  Bidhaa zao nyingi zina ubora hafifu, Na bei zao zingine nikama sehemu zingine tofauti ni ndogo sana.

  Nionacho
  Hawa wahindi wanacheza na mind set za wa TZ, yawezekana hapo awali waliweka vitu vizuri kwa bei nzuri, baada ya kuona dhana imejengeka kuwa jeshini vitu ni rahisi wanachakachua ile mbaya.
  Mie kwa kweli niliona vitu vingi ni low quality ndio vimejaa katika maduka hayo
  Badala ya kumsaidia huyu askari na kumuondolea makali ya maisha zina muongezea ugumu zaidi kwani akinunua glass ya sh 550 jeshini atakapoosha tu siku ya pili hana glass ni heri angenunua ya 990 sehemu ingine ambayo inge dumu kwa muda .
  Ni mtizamo wangu tu kuwa hawa wahindi vitu wanavyo vipeleka kuwauzia hawa askali wetu wenye kipato kidogo viwe na ubora wa kuwasaidia zaidi.
   
 2. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #2
  Mar 7, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Hao ndio wahindi, pale ndio dumping place yao!
   
 3. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #3
  Mar 7, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,918
  Likes Received: 219
  Trophy Points: 160
  Yaani Jeshi na minguvu yote wanashindwa kuwaadabisha hawa wahindi ili wawauzie vitu vyenye ubora, wao wanakuja kuonea raia tu?
  Basi kama wanauziwa vitu low quality kweli nadiriki kuwaita wapumbavu na wanatufanya tuonekane wapumbavu mbele za hao Wahindi...
   
 4. M

  MONTESQUIEU JF-Expert Member

  #4
  Mar 7, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 847
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wanawafanyia vibaya sana maafande wetu
   
 5. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #5
  Mar 7, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  hawa wahindi hawafai kabissa-si hapo tu-sehemu nyingi sana wanachakachua kila kitu
   
 6. M

  MONTESQUIEU JF-Expert Member

  #6
  Mar 7, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 847
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ni kwamba hawa wanajeshi naona hawajaelewa maana wao wanadhana ya kuwa kule vitu vyao nicheap na wananunua katika hayo maduka yao . Na hawajacompare kwasababu maduka yao yote yana almost same things.

  Raia kama mie nilienda kutembea mh, ndie ninayeona tofauti kwasababu nanunua kutoka maduka mbalimbali ya mitaani.

  Si wapumbavu hata kidogo wahindi wancheza na mind set zao.Hata wewe ucngegundua
   
 7. M

  MONTESQUIEU JF-Expert Member

  #7
  Mar 7, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 847
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Na sasa wameongezeka na wachina Tanzaia tutakufa kwa kuchakachuliwa bidhaa!
   
 8. f

  furahi JF-Expert Member

  #8
  Mar 7, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 947
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Halafu bei zao huwa wanalabel kwa pungufu ya sh. Hamsini
  Mfano: Fridge 599,950
  Jiko 499,950 nk. Bidhaa zao ni mbovu hakuna mfano. Mimi nilinunua stabilizer, baada ya mwezi nikatupa.
   
 9. M

  MONTESQUIEU JF-Expert Member

  #9
  Mar 7, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 847
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Na hapo wamekwepa kulipa ushuru.
   
 10. d

  dropingcoco Senior Member

  #10
  Mar 7, 2011
  Joined: Jun 21, 2008
  Messages: 124
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wahindi wanaingiaje jeshini kuuza vitu? jeshi si linaagiza vitu bila kodi na wanajeshi wananunua hivyo hivyo bila kodi? ninavyoelewa watu huenda kununua vitu jeshini kwa sababu ya unafuu wa bei, na raia huuziwi mpaka uongee na mjeshi akununulie kwa kitambulisho chake.
   
 11. M

  MONTESQUIEU JF-Expert Member

  #11
  Mar 7, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 847
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Bac kwa taarifa yako, maduka yote yale yanaendeshwa na wahindi na wafanyakazi wao wanaajiliwa na wahindi. Wanajeshi wamewapa sehemu tu ya kuuzia hawana umiliki wa bidhaa
   
 12. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #12
  Mar 7, 2011
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,583
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Naogopa ushahidi kwa hicho kibondo unachoweza kupewa na hao maafande
   
 13. M

  MONTESQUIEU JF-Expert Member

  #13
  Mar 7, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 847
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hapo kweli TANMO kapaweka vibaya maana ni Kaka zetu, dada zetu na wazazi wetu vile vile wanaakili sana wajeshi..ni hawa wahindi wanacheza na mind set za watu si maafande tu hata katika biasahara zao zote wako hivyo !
   
 14. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #14
  Mar 8, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,918
  Likes Received: 219
  Trophy Points: 160
  Mkuu kama umenisoma vizuri, sikukusudia kukutukania ndugu yako. Ila kutokana na ukweli kuwa wanajeshi wengi tunaishi nao Uraiani, wanaona maisha halisi na wao wamepata bahati ya kuuziwa vitu bila kodi, kumbe vitu vyenyewe ni mafamba na wanakubali, wanaendelea kununua, tuwaiteje sasa? Jeshi ambalo karibia kila kukicha tunasikia wametoa kichapo kwa raia wanaovaa nguo za mitumba eti kisa zinafanana na za Jeshi, walivyo makini kuwaadabisha madereva wanaofanya makosa jirani na kambi zao, walio makini kukamata raia anayekatisha kwenye kambi zao,, wanaopenda kila wanapokuwa basi uwa-notice na uwanyenyekee, wameshindwa kugundua kuwa wanaingizwa mjini na makabacholi na kuchukua hatua, tuwaite werevu?

  Umakini walionao kutafuta makosa ya raia na hatimaye kuwaadabisha, kama hawautumii kuangalia maslahi yao yanavyochezewa na wajanja wachache, basi niwaite "wasio werevu". Siwaonei huruma kwa kweli, tena wamenikera..
   
 15. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #15
  Mar 8, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,689
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  jeshi mc2tie aibu kamata hao ********* na zaeni nao fasta kabla hakujaharibika
   
 16. M

  MONTESQUIEU JF-Expert Member

  #16
  Mar 8, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 847
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Haya mkuu nimekusoma!
   
 17. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #17
  Mar 8, 2011
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,353
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180
  Hizo bidhaa zimetoka kuzimu, wahindi si unajua mambo yao...!!
   
 18. M

  MONTESQUIEU JF-Expert Member

  #18
  Mar 8, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 847
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hee !Kivipi tena?
   
 19. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #19
  Mar 8, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  wametoa wapi ujasiri mbona walikuwaga waoga sana du yani leo hii wanaenda kuwachakachua wanajeshi wetu ?
   
 20. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #20
  Mar 8, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  wee ebu tujuze mkuu
   
Loading...