Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,576
Mambo vipi members,
Aisee kuna mdada hapa mtaani kwetu yaani ni mzuri nikisema mzuri namaanisha, yaani ana kila kitu yaani mdada amekamilika yaani akipita hata sisi wadada wenzie tunageuka kumtizama.
Sasa akiongea ndio usiseme yaani ana kasauti flani hivi amazing. But cha ajabu ameshaolewa Mara 3 mpaka sasa na kuachika na wale wanaume wameoa wanawake wa kaiwaida tu sio wazuri kama yeye but ndoa zao zimesimama.
Huyu nimemtumia kama mfano tu ila wapo wengine wengi tu kama huyu hasa huku kwetu Mbagala. Hivi tatizo linakuwa nini wajameni?