sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,408
- 19,034
Sisemi kwamba walikuwa hovyo kabisa klabu walizotokea lakini ni kwamba wakija hapa kwetu ni wanasumbua sana yani.
Je, tatizo ni nini?
Je, tatizo ni nini?
Waliong'aa ni wachache kuliko waliochemsha kamaSisemi kwamba walikuwa hovyo kabisa klabu walizotokea lakini ni kwamba wakija hapa kwetu ni wanasumbua sana yani.
Je, tatizo ni nini?
Kuna yule alikuja SIMBA kama striker baadae akawa full back ya kuliaWaliong'aa ni wachache kuliko waliochemsha kama
Yikpe
Daniel Aggey
Vicent angbang
Fredric Blagnon
Mavugo
Musa ndusha
Papandow
Juuko
Balinya
Mike Baraza
Nikalas GyanKuna yule alikuja SIMBA kama striker baadae akawa full back ya kulia
Ha ha ha ha!Mtoa mada ni muongo
Kwa kiwango chetu Mkuu.Sisemi kwamba walikuwa hovyo kabisa klabu walizotokea lakini ni kwamba wakija hapa kwetu ni wanasumbua sana yani.
Je, tatizo ni nini?