Kwanini wachezaji wengi wa kigeni hung'aa hapa kwetu kuliko klabu walizochezea nje ya Tanzania?

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,014
Sisemi kwamba walikuwa hovyo kabisa klabu walizotokea lakini ni kwamba wakija hapa kwetu ni wanasumbua sana yani.

Je, tatizo ni nini?
 
Sisemi kwamba walikuwa hovyo kabisa klabu walizotokea lakini ni kwamba wakija hapa kwetu ni wanasumbua sana yani.

Je, tatizo ni nini?
Waliong'aa ni wachache kuliko waliochemsha kama
Yikpe
Daniel Aggey
Vicent angbang
Fredric Blagnon
Mavugo
Musa ndusha
Papandow
Juuko
Balinya
Mike Baraza
 
Waliong'aa ni wachache sana;
Ben Mwalala
Okwi
Kiiza I
Mark Serengo
Ambani
Kipre
Nonda
Chama
Kagere

Waliochemka;
Mavugo
Ndew
Zullu mkata Umeme
Serunkuma Jr
Yikpe
Kabamba Jr
Blagnon
Serunkuma Sr
Kaze
Balinya
Ukhrob
Sibomana
Orodha ni ndefu mnoo
 
Waliong'aa ni wachache kuliko waliochemsha kama
Yikpe
Daniel Aggey
Vicent angbang
Fredric Blagnon
Mavugo
Musa ndusha
Papandow
Juuko
Balinya
Mike Baraza
Kuna yule alikuja SIMBA kama striker baadae akawa full back ya kulia
 
Wanang'aa hapa kwetu kuliko kwao kwa sababu kiwango chetu Cha mpira kipo chini kuliko kwao
 
Bongo mchezaji akiifunga Simba/Yanga anapambwa na magazeti mwezi mzima hapo utashindwa kung'aa?
 
Kiwango chetu ni cha chini sana. Angalia wachezaji kama Konde Boy au Okwi. Hawana umaarufu huo huko kwao. Ni wa kawaida sana.
Chama ni mzuri lakini si mzuri sana huko Zambia.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom