luziiii Member Joined Jan 14, 2018 Posts 43 Reaction score 49 Jan 23, 2018 #1 wanaloga n'gombe halafu zikifa wanashidwa kula.wanazuia mvua mazao yakiharibika nao wanalala njaa,je Ninani anawapa ushauriwakijinga.enyiwachawi ninimnafokiria kabla yakutenda?
wanaloga n'gombe halafu zikifa wanashidwa kula.wanazuia mvua mazao yakiharibika nao wanalala njaa,je Ninani anawapa ushauriwakijinga.enyiwachawi ninimnafokiria kabla yakutenda?
Oxygen gas JF-Expert Member Joined Jan 23, 2018 Posts 247 Reaction score 237 Jan 23, 2018 #2 Wanakuja watakujibu, ngoja nikalie kiti hiki
Carlos The Jackal JF-Expert Member Joined Feb 6, 2017 Posts 29,340 Reaction score 94,010 Jan 23, 2018 #3 Hahahaha ukijiuliza sana yawacahwiiii ,utaishia kucheka mkuuu