Kwanini wachawi hawana maendeleo?

Hawaishi dunia ya kumiliki mali bali roho na hupata wakitakacho muda wowote na popote na kwa namna yoyote ile
 
Kwa shetani hakuna maendeleo jehanamu ipo kwa ajili yao wasipo mrudia Yesu
 
Wachawi ni wapinga maendeleo.
Ni lazima wapinge Maendeleo, unafikiri (mfano) Nchi/ Mikoa yakitapakaa Maghorofa, Watasafiri vipi kutumia NYUNGO zao, kumbuka wao hupita chinichini, laiti kama wangeruhusiwa kuvaa (vitu kama KOTI Zito) wao pia wangeweza KUKWEA Angani.

Sent from my SM-A500F using JamiiForums mobile app
 
Asili kabisa ya uchawi ni umaskin,mchawi hana nyumba nzur afya yake mbaya mchafu Kwa ufupi hana lolote,ukiwa na mungu hawa ni upepo tuu.
 
Nafikiri gharama zao ni kubwa mf. Kupata ubongo wa mtu aliyepata ajali bado ukiwa na moto gharama yake ni kubwa. Ili uchawi udumu anahitaji vitu vingi hivyo pesa yake inaishia humo kwa ujinga. Huoni hata kulisha msukule ni gharama?
 
Mchawi ni nomino dhaania, Uchawi ni kitenzi dhaania, wewe uo utafiti umeufanya wapi?!
 
Toka lini mtu Aliye asi Kwa Mungu akawa na mafankio zaid ya kutanga tanga mpaka maishani yao yote, na kufa Kwa aibu
 
Unayeona hana maendeleo na waona ni mchawi basi jua ana naendeleo ktk ulimwengu wa Giza anaheshimika kwani ana miliki uwezo wa ajabu na hicho ndiyo kitu pekee cha kujivunia kwake.
Product zake nyingi za shamba mifugo na maliasili nyingine huuzwa ili kupata resources ghali za kichawi ambazo wewe huwezi kuziona.
Kuna vitu ktk ulimwengu wa kichawi ukimiliki kimoja tu unakuwa compared na mtu anayemiliki tandamu kumi so ni uelewa tofauti tu na mitazamo.
Huyo ubayemuona shule kafeli kule kwingine kafaulu ana A tupu na mwisho wa siku wewe bujibuji na elimu yako unaenda unamvulia nguo akuchanje na kumwachia mihela mingi ambayo yeye hutumia kula tu na kununulia zana mpya.
Hiyo ndiyo ecosystem ya elimu tz.
 
Ukionyeshwa mafanikio yao kiuchawi utafuta huu uzi
 
SIFA KUU YA MCHAWI NI KUTOPENDA MAENDELEO NA HAWEZI KUENDELEA NA HAPENDI WENGNE WAENDELEE. KIUFUPI WANA ROHO MBYA NDYO MAANA ANAWEZA KUMWUA MWANAYE ANAYEJIWEZA NA KUWAROGO WOTE WAWE MASKINI WA KUTUPWA.
 
Hawaishi dunia ya kumiliki mali bali roho na hupata wakitakacho muda wowote na popote na kwa namna yoyote ile
Mkuu

Hivi mchawi anaweza kuiba benki au kutengeneza pesa bandia?
 
Maendeleo ya kifedha au mali yanaanzia kwenye mawazo ya mtu, hao wachawi unaowasema akili zao zimeshaathirika na uchawi na wakipata vijisenti wanafikiria kusafiri kwenda mbali kununua uchawi zaidi ili aweze kuwa mkuu kwenye mtaa wake. Kwa hali kama hiyo maendeleo yatatoka wapi.
 
Wako Kwenye Kongwa la Laana wao na uzao wa kizazi cha kwanza hadi cha 4 Yani watoto wao, wajukuu, vitukuu na vining'ina na kuendelea
 
Laana ni ile hali ya kuto kufanikiwa ktk kila afanyalo mtu maishani mwake!
 
Halafu uchawi huenda Kwa kurithishana Kwenye Ukoo husika, mlevi /mwizi anaweza kuzaa watoto na wasiwe walevi/ wezi kabisa lakini mchawi lazima muongoni mwa wanae atoke mrithi
 
Uchawi ni dhambi mbaya sana, ukiona hadi Mungu ameruhusu mchawi kuuawa pale itakapothibitika jua Mungu anajua madhara yatokanayo na uchawi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…