Kwanini wabunifu na wanamitindo wengi wa nguo (wanaume) wanashiriki mapenzi ya jinsia moja?

Wakuu nimejiuliza na kushangaa yani wanaume wengi wa Tz ambao wanafanya shughuli za ubunifu/mitindo(Designer/modeling) wanakua na tabia za kike kike na wengine wana muonekano wa kidemu?
Najua mnawajua madesigner wa kibongo wenye mambo ya kidemu/kishoga shoga hii inasababishwa na nini jamanii??
bac944a6bf8becdac0d3a9fcb6c0980d.jpg
Huyu namfaham
Anaitwa frank
Tulisoma nae Tusiime
Tangia secondary anamambo ya kikekike2
Naskia adi baba ake alikataa kuwa anamfata
Tatizo ni ukiwa karibu yake ni kama uko karibu na mwanamke tu
Ata marafiki zake ni wanawake2
Ata ongea yake, tembea yake, smile yake, ata shep yake
Cjui ilikuwaje akawa mwanaume

IQ standard
 
Mkuu nawe ni designer nn?? naona povu kwa mbaliiiiiii
Hapana Mkuu...mimi sio designer na wala sijawahi kufikiria kuwa designer

Ni kuwa sipendi tu au sioni sababu ya kujua mengi kuhusu hao machoko maana mada kama hii ilishajadiliwa several times hapa.

Ndio maana nikasema waachwe tu na maisha waliochagua wao.
 
Noted mkuu
 
Skuhiz tz inaongoza
Kwa mashoga yan kila
Kukicha,wanaongezeka

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Back
Top Bottom