Kama Kanisa linatoa baraka kwa wapenzi wa jinsia moja, kwanini ndoa za mitala(Polygamy) zichukuliwe kuwa dhambi?

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,076
49,784
Kimaadili inakuaje wapenzi wa Jinsia Moja (mashoga na wasagaji) watambuliwe na kupewa baraka na Kanisa harafu wanandoa wa Mitala(Polygamy) wachukuliwe wanatenda Dhambi?

Sie tuliooa Mitala tunaomba tafsiri ya Maadili na kanuni za kibiblia zinazotuharamisha na zinazohalalisha hao wengine.

Angalizo.
Mods msiunganishe huu Uzi na nyuzi zingine maana una maudhui tofauti.
 
Nadhani hujaelewa
101946722.jpg
 
Ndoa za mitara ni nature iliamua ziwepo na hata wakristo tunazo sema sio rasmi kisheria!Sheria haiwezi pingana na asili!ndio maana hata wanaume wakifungwa wanawake watapatikana humor humo Kwa hai wanaume!!

Wanaume wengi was kikristo tuna michepuko Tena mingine ya kudumu kabisa!!yaani ni asili ya dume kupanda jike zaidi ya moja!!

Usidanganywe na Sheria za viwanda za 1800 eti nuclear family eti make mmoja na watoto wawili Ili iwe rahisi kuwahamisha wafanyakazi Toka kiwanda kimoja hadi kingine!!

Hiyo ni asili ya kiume kuwa na make zaidi ya mmoja!!

Hizo nyingine za ushoga na kampeni ndani ya wakatoliki nikuambie ulichelewa Dana kung'amua kwamba Hilo sio kanisa was utumishi was mungu Bali kampuni ya kutawala Dunia nzima Kwa mgongo wa imani!!!

Yaani utakua umechelewa kujua hilo!!!
 
Swali unafata maagizo ya kanisa au maagizo ya Biblia.
Kanisa sio Biblia.
Ukatoliki ni sehemu ya Ukristo na sio ndio Ukristo.
 
Ndoa ya mitaala ni matokeo ya mtu kukosea kuoa mke WA kwanza.
Mme akikosa amani kwenye ndoa hana thamani.
Ni either awe single au aoe mke wake wengine Hadi apate amani yake.
Hakuna kitu chenye thamani kwa Mme kama amani.
Mwanamke mpumbavu anaporap atema sumu mme anapokea sumu zinaua nguvu za kiume,uchumi,magonjwa hatimaye kifo.
Thus wanaume wanaongoza kufa mapema ni waliooa sababu ya sumu.
Moyo wa mwanaume hauna uwezo wa kubeba sumu toka kwa mwanamke
 
hahahahaha, ingekuwa hili wao ndio waanzilishi wangeshaliweka zamani.

Mitaala ni mila za WaAfrica na Utaratibu wa Muslim, sasa wakiliweka kwenye utaratibu wa katoliki wataonekana wameiga, lamsingi ambalo kwao ni mali yao na si la WaAfrica wala waislamu ni hilo la Ushoga..

Kazi ni kwa waumini kumeza au kutomeza.
 
Kimaadili inakuaje wapenzi wa Jinsia Moja (mashoga na wasagaji) watambuliwe na kupewa baraka na Kanisa harafu wanandoa wa Mitala(Polygamy) wachukuliwe wanatenda Dhambi?

Sie tuliooa Mitala tunaomba tafsiri ya Maadili na kanuni za kibiblia zinazotuharamisha na zinazohalalisha hao wengine.

Angalizo.
Mods msiunganishe huu Uzi na nyuzi zingine maana una maudhui tofauti.
Umenifungua macho, sasa nipo huru machoni pa Mungu.
 
Umenifungua macho, sasa nipo huru machoni pa Mungu.

MUDA UTAKUJA KUSEMA TUH,HAIWEZEKANI DINI YA MUNGU IENDE KINYUME NA ASILI YA MWANADAMU,MUNGU AMEMPA RUKSA MWANAUME KUOA WANAWAKE ZAIDI YA MMOJA,THATS NATURE...MUNGU ANAEMPA MWANAUME KATAZO LA KUOA ETI KISA YEYE NI KIONGOZ WA DINI NI DINI AMBAYO INAENDA AGAINST NATURE
 
Kanisa halijatoa baraka kwa mahusiano ya jinsia moja, bali kwa kila mmoja anayejihusisha na mahusiano hayo kama jinsi wezi, majambazi, mafisadi n.k wanavyokaribishwa kanisani ili kupata wokovu
 
Jaman kama umeamua kuoa wewe oa kama ni mke mmoja or whatever hv una akili timamu anaekuamulia uwe na wake wangapi yeye hajawahi kuoa?
 
Acha kutetea upuuzi chief.

Mtu akiishi ukatoliki wake lakini asipooa basi padri haruhusiwi kumzika/kutoa baraka ya kaburi, lkn padre huyohuyo anaruhusiwa kubariki mashoga wanaoenda kuomba baraka.

This is fraud
Kwahiyo huyo mtu akiishi ukatoliki wake na hajaoa na akienda kuomba baraka ananyimwa ? Toa mfano katika uzani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom