Kwanini wabunifu na wanamitindo wengi wa nguo (wanaume) wanashiriki mapenzi ya jinsia moja?

KweliKwanza,

Huyu kama mwanamke kabisa ni ngumu kwa tusiomjua kufahamu kama ni mwanaume aisee dunia hii


Kuna siku nimecheka sana kijamaa flan hv kifupii, siku ya kufunga kinataka kumpiga mpini
Tuko form 4 huyo yeye yuko form6


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ukifuatilia kwa ukaribu historia ya ubunifu wa mavazi imefadhiliwa na freemasonry .Ukiwa makini utajua kuwa Leonardo DA VINCI alichora picha ya Monalisa ,kuonesha namna ambavyo mwanamke anatakiwa kuvaa. Since then wabunifu wa mavaz wakifadhiliwa na freemasonry wamekuwa wakimvua nguo taratibu Monalisa hadi kufikia wanawake kutembea uchi. Sasa unganisha freemasonry ,gays and modelling utapata jibu kuwa wanamtumikia bwana wao mmoja wanaomjua wao.

Mara nying watu hutumia majina makubwa kutengeneza stori zidizokuwepo


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Huyu namfaham
Anaitwa frank
Tulisoma nae Tusiime
Tangia secondary anamambo ya kikekike2
Naskia adi baba ake alikataa kuwa anamfata
Tatizo ni ukiwa karibu yake ni kama uko karibu na mwanamke tu
Ata marafiki zake ni wanawake2
Ata ongea yake, tembea yake, smile yake, ata shep yake
Cjui ilikuwaje akawa mwanaume

IQ standard
Duh
 
Wa Africa wanafiki sana, sasa privacy za wahusika zinawahusu nn? Wanashindwa ku deal na mambo ya msingi kutwa kujadili personal interest za watu. Ndo maan hakuna maendeleo msieeeeeeeeeew

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Huu uzi nimesoma comments zote na kuelewa exposure za wadau, naweza kusema hakuna wanalojua kuhusu USHOGA,
Na kamwe hawawezi kuufuta hapa kwetu. Tena kwa sasa umeshamili ktk pande zote za Dunia.
Kazi ipo.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Dah.

Tuwaombee watoto wetu wajao.

Na ndugu zetu pia.

Pia tujiombee sisi sote.

Of course, tuuombee ulimwengu wote.
 
Straight to the point wakuu,
Angalia A.R, Mustapha Hassanali, Noel Ndale, Rio, Deo stylist, mzee mwenyewe wa mafashooo, Martin Kadinda etc.
Ukiangalia hiyo pattern mkuu utagundua kuna common feature kwa hawa jamaa, sasa najiuliza ni kawaida kwa watu wanaohusika na mitindo ama? Maana kwa wenzetu Kama Naijeria Kuna mwamba anaitwa Ohimai Atafo mbona Ni gentleman tu lakini Ni mkali wa designs? Nawasilisha
 
Tatizo Ni kushinda Sana kwenye vioo...
Ikitoka trend lazima wajaribu ..like kupaka makeup ,Lipshine,balms.... Tunguo twa kike... Hatimae ...wanakuwa ubwabwa wa Wana kwa kujaribu jaribu...
Pia waliotangulia kwenye industry ndiyo wanaowaharibu vijana ..
Ili kijana atoboe inabidi atoe ndogo Mambo yaende
 
Back
Top Bottom