Kwanini wabunge wa CCM wanalala-lala ovyo bungeni?

kakini

Senior Member
Mar 31, 2011
197
33
Tumekuwa tukijionea kila siku wabunge wa CCM wakilala BUNGENI wakati mijadala ikindelea leo steven Wasira tyson sijui evender kalala na TBC wamempiga picha alianza komba, akafata juma nkamia mpaka anauliza swali lililopita muda wa kujadiliwa wadau hii ni sahihi kuacha kitanda nyumbani na kwenda kulala bungeni?

Kwa kweli nachukia kweli kweli kwanini wasiende kulala makwao?
 
Kwa sababu wamefikishwa na vyombo vya Do.. Sio Wananchi so wanawakilisha Do.. na sio Wananchi.

Wana uwezo Mkubwa wa kuzomea...
Pia Wakupitisha Sheria Mbovu..
Wanafiki pia.
Msiwachague tena 2015 kama alivyofanyiwa kapuya...Kulalalala Ovyo...

Washaulini Wapime kisha wachukue uamuzi Bado Magamba hayajawatoka vizuri
Vumilia maumivu hadi 2015.
 
hua wamezoea 'wangapi wansema ndiyooo''' they dont have time to think of issues inayoendelea koz mda mwingi wanawaza biashara na madili tu...lazima walale..
 
Kulala ni moja ya kanuni za bunge la ccm. Kutoa mtu makini kama sita maana yake ni nini kama si usingizi wa kisiasa?
 
Ni kwa sababu ni wengi wao ni watu wasiokua na malengo wala uchungu wowote kutumiki watu wa hali ya chini hivyo wanaona wachangie wasichangie yale maslahi binafsi ya ki-ubunge bado yako pale pale tu!!!

Tumekuwa tukijionea kila siku wabunge wa CCM wakilala BUNGENI wakati mijadala ikindelea leo steven Wasira tyson sijui evender kalala na TBC wamempiga picha alianza komba, akafata juma nkamia mpaka anauliza swali lililopita muda wa kujadiliwa wadau hii ni sahihi kuacha kitanda nyumbani na kwenda kulala bungeni?

Kwa kweli nachukia kweli kweli kwanini wasiende kulala makwao?
 
Wana matatizo haya: 1) Hawapati usingizi wa kutosha usiku 2) Asubuhi hawafanyi mazoezi 3) Hawaipi umuhimu mijadala husika 4) Hawanywi maji ya kutosha
 
hua wamezoea 'wangapi wansema ndiyooo''' they dont have time to think of issues inayoendelea koz mda mwingi wanawaza biashara na madili tu...lazima walale..

JK wakati analihutubia Bunge alidai kwamba "wabunge huwa hawalali" eti "wanatafakari!" Nwy, nafikiria CCM watakapounda "JF" yao watajibuje hoja hizi kama wameshindwa kuzijibu kupitia Uhuru, Mzalendo, HabariLeo, JamboLeo, TBC1, Bungeni, nk? Wakizijibu kupitia "CCM-JF" ndio zinakuwa zinajibika "vizuri" zaidi?
 
wabunge wote ni wazee wa ndiyoooooooooooo, hakuna cha chadema wala ccm.

hata kama umetumwa na mafisadi jaribu kutumia hoja kujibu hoja!acha kuchangia kama unabishana na wanywa kahawa wa msufini.toa mfano wa wabunge wa cdm wanaolala bungeni halafu linganisha na wale wa ccm.
Unazi huu usio na kichwa wala miguu ndio unaofanya cdm ipendwe na vijana wasomi na huku ccm ikibaki kujikwangua magamba.yaani most of ccm leaders wanapenda 'unafiki'
kazi ni kusifia chama ili waendelee kuwa viongozi.
 
Mimi huwa nachukia muda wanaopoteza kwa kupongeza. Napongeza wapigakura wangu, napongeza Rahisi wangu, napongeza mke wangu, napongeza serikali yangu, napongeza spika wangu, napongeza kamati ya ......., napongeza wizara hii, napongeza walioandaa mswada huu, napongeza wachangiaji waliotangulia, napongeza chama changu, napongeza mbwa wangu.............

Ningekuwa spika ningesema 'stoop'.
 
Back
Top Bottom