Kwanini wabongo chombo cha mboga huwa kidogo kuliko cha ugali?

kwasababu wanakula ugali kuliko mboga, in the contrary, wazungu wanakula zaidi majanimajani, minyamya, samaki etc kuliko mawanga. kitu kingine, ujue wanga unanenepesha kuliko mboga, na kwa wabogo kunenepa ni afya wakati kwa wazungu kunenepa ni ugonjwa.
Kwanini Ugali uliwe na mboga? Kwanini isiwe ugali uliwe vile tu bila mboga??
 
Back
Top Bottom