Kwanini waarabu weupe wanawabagua waarabu weusi?

Kwanini waarabu weupe wanawabagua waarabu weusi?

Status
Not open for further replies.
why wazungu weupe wanawabagua wazungu weusi! why wazungu wanakubagua wewe rangi ya nyani? hii sababu ya kubaguliwa ni sisi waafrica tunaiendekeza maana tuna wanyenyekea hawa mafala weupe wote wahii dunia
 
hawa waarabu halafu mi siwapendi mana kwetu wanakuwa wanahela wakati mwafrika ukienda kwao huwezi kuwa tajiri,wapo waarabu weusi wengi tu saudia na yemen lakini huwezi kusikia hata siku moja kuwa eti wamepewa nyadhifa za serikalini wacha ukatibu kata tu.hawa watu jinsi wanavyotufanya huko kwao inabidi na sisis hapa tuanze mdogo mdogo kuwafanya asusa yetu tuwalipizie visasi kama waisrael wanavyofanya mana mtu akikupiga usipompiga anaendelea kukudharau na sisi tukianza kuwaadabisha wahindi na waarabu hapa tusinunue kwenye maduka yao watatuheshimu mno hawatatufanyia mzaa wao huu.leo hii wao na mabaki yao yaliyopo hapa wanaishi maisha ya kifahari kabisa wakati sisi wenyewe tunataabika sana,wanatutema mate wakitembea kwenye magari yao ndani ya ardhi yetu wenyewe sasa sisi tutaringa na kudeka wapi wakati kote hata kwetu kwenyewe tunapata shida??? wahindi leo hii wanadiriki kuwa nyima chakula wafanya kazi wao wa kiafrika na kuwalipa hela duni kulinganisha na muhindi mwenzake anayefanya kazi hiyo hiyo si aibu hii jamani wahindi hahwa hawa wanaonuka umasikini kwao wanakuja kutudharau ktk nchi yetu??

jamani ee ktk ardhi hii mwafrika kwanza na yeyote yule mzalendo anayesoma mawazo haya lazima achukue hatua za kiuhakika kwanza kuwaweka wa mwisho ktk kila kitu mwafrika aje kwanza wao waje wa mwisho tu kama sisi wanavyotufanya kwao. HII NI AIBU WAAFRIKA TUNAONEKANA NI WATU WA KUTWALIWA TU SABABU YA VITU VIDOGO KAMA HIVI TUKIWAWEKEA NGUMU HAWA WENYEWE WATATUHESHIMU TU KWANI DAIMA HESHIMA HUWA HAIOMBWI!!!
 
Ukitaka kujua ubaguzi wa Wazungu ulivyombaya ebu waulize Samweli Eto'e na Mario Balotelli.

Wataliano walishawahi kumwambia Balotelli kuwa hakuna Mtaliano Mweusi kwenye hii dunia.

Kuhusu Waarabu weupe na Weusi labada nikukumbushe Saudia Arabia ndio nchi tajiri kwa waarabu lakini Waarabu Weusi, tofauti na Oman, Palestina, Lebanon.

Weka ushahidi Waarabu Weupe wamewabaguwa wapi Waarabu Weusi.

Wewe ni kilaza
 
akili za kigalatia bana !

Bora wewe umekuja kidoooogo una akili japo za kubabaisha labda unaweza kujibu hili swali. Nililiuliza naona limefutwa sijui kwa nini.
..........Enyi watu (enyi binaadamu wote !) Hakika sisi tumekuumbeni kutokana na Mwanamke na Mwanaume. na tumekujalieni kuwa "Mataifa" na "Makabila" ili mjuane. Hakika aliye mtukufu zaidi kati yenu kwa Mwenyezi Mungu ni huyo aliye mcha Mungu zaidi kati yenu. Hakika Mwenyezi Munngu ni Mwenye kujua Mwenye habari. QUR'AN: Hujuraat: 13.

Eti, hizo RED zinamaanisha nini?
 
Mkuu wewe niite utakavyo wala usidhani takasirika, mie Ritz, natoa elimu ya uraia.

Wanaenisoma wananielewa nimekutolea mfano kariakoo huo ubaguzi umeletwa na wageni, wenyeji wa kariakoo nyumba zao wamepangisha makabila mbalimbali bila ubaguzi mpaka leo.

Nimekuambia jengo la mkinga hawezi kumpangisha mchaga, na jengo la mchaga hawezi kumpangisha mkinga sababu za kiubaguzi.

Usiwe kama HINDI kila jino kukutafuna...twende taratibu watu watusome kwa faida.

Kariakoo haina wenyeji. Ile ni business center na biashara haichagui kabila. Una rule out kuwa Mkinga hampangishi mchaga wa lipi kama sio macho yako ya kibaguzi?

Jamaa yangu Kille anauza viatu, yeye ni mdigo. Dada jirani yangu anauza nguo za kike na pochi, yeye kwao mbeya na jirani zake ni wachaga na muha. Hayo mambo yenu ya Pemba msituletee huku.

Watu kupenda kukaa pamoja ni hulka lkn si kwamba hawawataki wengine. Ni lini wewe ulienda ukakuta fremu iko wazi ukanyimwa kwa kuwa wewe sio Mkinga? Ni vile mnaishi ki_Radio Imani Radio Imani (UZUSHI) kwa hiyo mnajazana ujinga. Sababu ya wakinga kukaa peke yao ni kwamba watu wengine hawapendi kufanya biashara nao kwa kuwa wanaamini hawatapata faida kwa kuwa wakinga wana chumaulete, na wala si kwamba wanabaguana
 
Bora wewe umekuja kidoooogo una akili japo za kubabaisha labda unaweza kujibu hili swali. Nililiuliza naona limefutwa sijui kwa nini.

Eti, hizo RED zinamaanisha nini?

unajua lugha ya kiarabu na kiyahadi? royal plural?
kama hujiui basi ukapitie Google.
 
Waarabu weusi wanabaguliwa sana na waarabu weupe achilia mbali wewe muafrika, wewe muafrika ni issue nyingine kabisa, nchi za kiarabu sijui kwa nini zina ubaguzi sana kwa watu weusi .
Ukienda europe utabaguliwa sana lakini ubaguzi wake sio kama wa waarabu.
The safe place for african ni Afrika.
Tulilinde bara letu..... Kila sehemu muafrika anabaguliwa akienda except Africa tu
Kaka hata Africa utabaguliwa tu. Angalia mkikuyu na luo, hutu na tutsi, na kwa upande wa Tanzania kuna ile kabila moja yenye majivuno karibu na ziwa Victoria(jina nalihifadhi).
Ubaguzi uko, na sio kwa waarabu tu bali races zote. Angalia hata hapa jamvini kuna watu wanakampeni wanawake wa kiafrika waolewe na wazungu tu.
Tusiwalaumu waarabu pekee bali ubaguzi uko kokote duniani
 
Na ndio maana anayefanya kitendo kile anawajibishwa kwani dunia iliyostaarabika inapiga vita ubaguzi wa rangi. Kuonesha juhudi hizi zinazaa matunda, leo tunaona viongozi wa ngazi za juu katika nchi zenye binadamu wakishika madaraka huku hali ikiwa tofauti kwenye nchi za Kiarabu. Hebu fanya utabiri wako ni lini tutakuwa na Barack Obama wa Uarabuni?

Mfano wa ubaguzi ni hapa tu Sudan. Wanamgambo wa Kiarabu wa Kaskazini (Janjaweed) wakishirikiana na mwarabu mwenzao Al Bashir wamewaua wasudan weusi maelfu na kuwashika utumwa wengine. Yaani yale mambo ya Karne ya 17 kule ulaya leo waislamu wa Sudan wanafanyiana wenyewe
Wewe na wenzako ni waathirika wa vita ya fikra ya kiyahudi inayopiganwa kwa ufundi mkubwa kupitia teknolojia ya habari.
Wakati ule walipoleta habari hii ya kuuliwa maelfu ya waafrika weusi na waarabu wa kaskazini walikuwa wanatia kasi katika kuigawa Sudan kwa madhumuni kibao.Baada ya kufanikiwa wamepunguza kasi kidogo kwenye hilo lakini wewe bado umeganda kwenye habari hiyo hiyo isiyo na mashiko.Hii ni ushahidi kwamba wewe hutumii akili zako.
Katika yote unaweza ukasema ukasikilizwa wakati watu wana ujinga wa habari unayosimulia,lakini kwa Sudan unayosema ni kama unaitukanisha akili yako.
Albashiri kweli unamjua wewe?.Kafanana sana na watu wa kusini wa Tanzania.Umewahi kuona baraza lake la mawaziri?.Unakumbuka Salva Kiir alikuwa ni makamo wa raisi wa Sudan kabla kugawanywa.Ubaguzi wa rangi na uarabu uko wapi hapo?.
​
 
hivi wewe hukomi nyinyi wapemba wallah siyo bure kuna kitu waarabu waliwafanya nini!! yaani na nyie mnawatetea waarabu mnadhani na wa2 watawaita na nyie waarabu?? jua kabisa hata kama umechanganya damu kwa uarabauni hicho ni kigezo tosha cha kukudisqualify kuwa mawarabu.waarabu tunawajua na wapemba tunawajua sasa uarabu huo mmeutoa wapi?
kuhusu sudan nilidhani unajua kitu chochote kumbe hamna kitu sasa kwa taarifa yako wakati nakaa khartoum nilishuhudia kwa macho yangu ijumaa moja kwenye swala ya al jumaa waarabu koko wakitoka msikitini wakigoma kuswalishwa na mtu mweusi toka darfur wanasema sala zao hazitakubaliwa kwa mungu yaani ni wabaguzi haswa.

wasudan ni weusi lakini hawataki kujiita ni waafrika wenyewe wanang'ang'ania kuwa wao ni waarabu wakati uarabuni hawawatambui wanawacheka kwa kurukia others people's identity.Al-bashir si mwarabu ni mwafrika na babu yake mzaa baba ni wa kutoka Nigeria ila si unajua tena ile kutaka ujiko kisa waarabu ndio walioanzisha uislam,ndiko mtume alikotokea na eti kwamba wamebarikiwa ndo kisa chote kwamba wao wasudan wanataka na wao wahusishwe na uarabu pia japo wapate nao utukufu tu wa lile jina "WAARABU"!!!! na ndio tatizo hilo hilo linalowatesa leo wapemba na waznzbr linawasababisha wasilale mpaka waupate huo utukufu.
 
Ubaguzi upo ..as long sio kwenu utabaguliwa tu... Mimi bana.huwa.si.mtu wa ku entertain dharau ... Nishagombana na demu mzungu.mpaka leo uso wa mbuzi sababu dharau za kipumbavu.. alinambia ati natoka jungle "Africa" that's why sipo civilized na gay people ... Kulikuwa na gay flani la ki Spanish nilimwambia live mi.bana I don't entertain gay people .. we can.be classmates . But we are not friends ...

Insidence nyingine Toto la kiarabu liliniita abid... "Mtumwa" nilliifata nikampa mafuta yake bana wote tupo foreign country ushenzi anaofanya huko kwao asiniletee Mimi this is ur last warning nikimsikia next time naondoka na meno ya mbele... Akawa mdogoo...

Ubaguzi.upo.Kila kona.ya dunia... Watu watakuheshimu.pale utakapojiheshimu na ukiwa na.elimu yako...

Heshima.ninayo pewa mtaani na Hawa. Watu weupe ni tofauti na ninapo kuwa hospital nimevaa koti.nyeupe ..

Kitu kingine nimegundua watu weusi tunajistukia ... Infiriority complex .. hata utani kidogo mtu anawaka ..
 
Ni vile hujachunguza tu. Hata hapa Afrika ubaguzi upo. Nenda hapo Sudan utaona jinsi watu weupe wanavyowanyanyasa weusi. Na si kuwanyanyasa tu, hata kuwaua.

Kiukweli Waarabu ni watu wa ajabu sana. Wanaamini kuwa wao ni bora kuliko kiumbe chochote cheusi.

hata Watusi ni bora kwa Wahutu ! na Watwa ni wakudharauliwa kabisa !
 
..........Enyi mlio amini ! (yaani Waislaam), Wanaume wasiwadharau Wanaume wenzao, wala Wanawake wasiwadharau Wanawake wenzao. Huwenda hao (wanao dharauliwa mbele ya M'Mungu) wakawa bora kuliko wao. wala msivunjiane heshima, wala msiitane majina ya kejeli. Ni uovu kutumia jina baya baada ya kwisha amini (baada ya kuwa Muislaam). Na wasio tubu (dhambi/makosa yao), hao ndio wenye kudhulumu.
QUR'AN :Hujuraat:11.

..........Enyi watu (enyi binaadamu wote !) Hakika sisi tumekuumbeni kutokana na Mwanamke na Mwanaume. na tumekujalieni kuwa "Mataifa" na "Makabila" ili mjuane. Hakika aliye mtukufu zaidi kati yenu kwa Mwenyezi Mungu ni huyo aliye mcha Mungu zaidi kati yenu. Hakika Mwenyezi Munngu ni Mwenye kujua Mwenye habari.
QUR'AN: Hujuraat: 13.
Aya ya juu inazungumzia Waislaam, na ya chini ni kwa Binaadamu waote. Uislaam raha bana !

Hiyo sisi tumewaumbeni imekaa aje?

Biblia mnazibabeba kila siku lakini hamjui kilicho andikwa ndani ! Wagalatia mmekaa kama punda aliebebeshwa vitabu. Kwakuvibeba tu hawezi kuelimika !
Soma Kitabu cha "Mwanzo" katika Biblia uone Mwenyezi Mungu anavyojinasibu.............."natuumbe mtu kwa mfano wetu !
 
Just a minute buddy! Ukiongea na mimi usiwe na mapepe mapepe na kukurupuka. Raha ya aya inakuja ufafanuzi wake ukieleweka. Labda niulize tu, unaweza kuona tofauti ya maneno NIMEKUUMBENI vs TUMEKUUMBENI na NIMEKUJALIENI vs TUMEKUJALIENI?

Endapo utabaini tofauti, basi utakuwa na kila sababu ya kunieleza kwa imani yako, wewe uliumbwa na KINA NANI.

Mimi kwa imani yangu, niliumbwa na Mungu, ambaye ni mmoja. Na niliumbwa kwa udongo na kuzaliwa na mwanamke.

Tafadhali usikimbie, fafanua tu

............soma Kitabu cha Mwanzo katika Biblia, then uangalie Mwenyezi Mungu ana jinasibu vipi ! .............natuumbe mtu kwa mfano wetu !
 
Bora wewe umekuja kidoooogo una akili japo za kubabaisha labda unaweza kujibu hili swali. Nililiuliza naona limefutwa sijui kwa nini.

Eti, hizo RED zinamaanisha nini?

...........katika muktaza mzima wa aya ya 13: al Hujuraat, umeona neno "tu...." ndo la kukoment !?
 
Ubaguzi upo ..as long sio kwenu utabaguliwa tu... Mimi bana.huwa.si.mtu wa ku entertain dharau ... Nishagombana na demu mzungu.mpaka leo uso wa mbuzi sababu dharau za kipumbavu.. alinambia ati natoka jungle "Africa" that's why sipo civilized na gay people ... Kulikuwa na gay flani la ki Spanish nilimwambia live mi.bana I don't entertain gay people .. we can.be classmates . But we are not friends ...

Insidence nyingine Toto la kiarabu liliniita abid... "Mtumwa" nilliifata nikampa mafuta yake bana wote tupo foreign country ushenzi anaofanya huko kwao asiniletee Mimi this is ur last warning nikimsikia next time naondoka na meno ya mbele... Akawa mdogoo...

Ubaguzi.upo.Kila kona.ya dunia... Watu watakuheshimu.pale utakapojiheshimu na ukiwa na.elimu yako...

Heshima.ninayo pewa mtaani na Hawa. Watu weupe ni tofauti na ninapo kuwa hospital nimevaa koti.nyeupe ..

Kitu kingine nimegundua watu weusi tunajistukia ... Infiriority complex .. hata utani kidogo mtu anawaka ..

Dah!!,we mwanangu ni mtu wa incidence duh kweli saaluti,umeona jinsi hao watu weupe wanavyokuwa na dharau???
hasa hasa hao waarabu weupe wanadharau balaa wanajiona wao ni boraaa!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom