LUPITUKO
JF-Expert Member
- Sep 19, 2011
- 279
- 183
Mkuu,
Wapo waarabu weusi, nathibitisha. Bara Arab limegawanyika. Nchi za kiarabu mfano Yemen, Saudia, sehemu fulani ya Oman waarabu wake wapo mchanganyiko. Uendapo mashariki ya kati utakuta waarabu ambao ni weupe sana katika nchi za Iran, Jordan, Syria, Lebanon, Palestine etc.
Mchanganyiko huo ni mithili wa bara hindi ambapo nchi ya india (licha ya ukubwa wake) lakini ukienda India ya kusini utakutana na wahindi weusi kabisa kabisa. Ukienda Sri lanka utakutana na wahindi weusi wengi sana.
Juu ya yote, ni Mwenyezi Mungu ndiye ajuaye siri iliyopo. Nae hakumuumba mwanadam kwa tabaka fulani ni bora mbele yake kuliko tabaka jingine, ni sisi wanaadam ndio wenye chokochoko zisizoisha hata kama tupewe mito ya asali, maziwa yakitiririka lazima tutazua 'kwa nini'. Ndivyo tulivyo wanaadam.
Nini Waarabu weusi bana, kuna wahindi weusi kuliko waziri mkuu wa tz!
Wewe unashangaa waarabu weusi, wapo wengi mno hasa Oman, Saudia Kuwait, Yemeni na Egypt