Kwanini Vitu Vinadondoka? (Newton vs Einstein)

Mkuu mi nakujibu kupitia classical physics hyo hyo na jibu linajibika. Kinachoproduce acceleration na direction ya acceleration ni net force sio one force. Kwahyo kama hakuna force inayoact upward dhidi ya chupa means kuidrive upward basi net force itakuwa ma-mg( g= acceleration due to gravity)=mA( net acceleration). Sasa tunakuja hapo a=0 hence mA=-mg( free fall)
 
Wewe ndo mwenye tatizo umeuliza swali kwa kucompare halafu hutaki kusikiliza hoja za newton. Swali lako ilitakiwa uulize according to modern physics may be kwann vitu vinaonekana kudondoka. Hakuna mtu wa classical physics angehangaika kujibu.
 

On my second year Uni, tulikuwa na module ya Advance Scientific Principle and Reaserch, Lecturer alikuwa anapenda sana kutukewa video za Theoretical Physicist Michio Kaku
Lengo sio kujifunza General Relativity sababu mycourse was nothing to do with that, bali ni kujifunza kueleelezea complex issues in simple language na pia kujiuliza maswali magumu,
enjoy the clip:
 
Wewe ndo mwenye tatizo umeuliza swali kwa kucompare halafu hutaki kusikiliza hoja za newton. Swali lako ilitakiwa uulize according to modern physics may be kwann vitu vinaonekana kudondoka. Hakuna mtu wa classical physics angehangaika kujibu.
Kama umesoma vizuri bandiko langu mpaka mwisho utaona kuwa sikuja kupata view ya Newtonian Mechanics

Na nilijua kuna watu wangetaka kunijubu kwa kutumia classical mechanics
Thus why nimejaribu kuonyesha hapo juu kwanini classical mechanics haiwezi kujibu wala kutumika kujibu hili swali

Cause ime miss the "whole point" of Gravitation

Gravitation sio force kama ilivyo kuwa "assumed" na Newton

Ni something entirely different

So sikuja hapa kupata view ya classical mechanics kama ulivyoshindwa kugundua kwenye comment yako
 
Comment yako ni mfano mzuri wa watu walioshindwa kabisa kuelewa swali langu

Swali ni "kwanini vitu vina appear kudondoka"?

Newton's law of gravitation haiwezi kujibu hili swali

Kwanini ?
Kwasababu haiwezi kuelezea " Gravitation " ni nini?

So inabidi I "assume" gravitation kwanza ili ijibu ili swali?

Nikiuliza kwanini "vitu vinadondoka?"

Utasema ni kwasababu ya "Gravitation pull ya dunia"?

Nikiuliza tena source ya hio "gravitation pull ya dunia" ni nini?

Utanambia ni "mass ya dunia"

Nikikwambia kivipi mass ya dunia inatengeneza hio "Gravitation pull" ?

Hapa ndipo Newton aliposahau kukujibu

Sasa kama hatuwezi kujibu "Gravitation" inatoka wapi,tuna hakika gani kuwa tunaweza kujibu "kwanini vitu vinadondoka"

Tuna hitaji complete theory inakayo tupa jibu kwanza "hio Gravitation" ni nini kabla haijaelezea "kwanini vitu vinadondoka"

Point nyingine uliyoshindwa kuielewa ni "Free falling body"

Ni mfano mzuri wa inertial frame of reference

Imagine umeshika simu yako na unadondoka kwenye ghorofa refu mno (mwendo wa siku 2 mpaka unafika chini)

Ndani ya "hio moment" hakuna "physical experiment" yoyote ile utakayo Fanya "ignore air resistance" ambayo itatofautiana na "physical experiment" hio hio itakayo fanywa na "physics lab" iliyo kwenye "outer space" ambapo hakuna force yoyote ile inayo act...

Implication ya hio "thought experiment" ni nini?

Ni Ku prove kuwa "free falling man" hana tofauti na "floating astronaut in deep space" wote hawa "experience any force" thus why wana feel "weightlessness"

Hakuna "pull" wala "acceleration"

Tunahitaji maelezo tofauti ya why kina appear kushuka chini wakati hakuna force yoyote inayoivuta


Haya sio tafiti wala maneno yangu
Ni Equivalent principle ya "General Relativity"

Kama ungeelewa points hizo usingeangaika tena na Classical mechanics

Aidha ungenijibu kwa kutumia GR au ungekaa kimya
 
newton was right katika namna yake (in a very limited way ) but general relativity simply is more general kuliko ma laws ya newton.

so sheria za bwana newton still ni very relevant hata leo kwenye mambo mengi tu.
 

unatudanganya aisee mkuu, mass ya kitu haiathiri free fall motion, ndimu na nanasi vitaanguka kwa velocity sawa kabisa in absence of air resistance hata newton third equation of motion inaonesha hilo v=sqrt(2gh) kwa free fall. wewe ndo inabidi urudi kusoma newtons laws na equations vizuri inaonekana hukuzielewa.
 

wewe unachanganya madesa mkuu quantum mechanics, newtonian mechanics na general relativity ni vitu vitatu tofauti. nadhani hapa mada imebase kwenye newton na na einstein yaani newtonian gravity na general relativity theory.


and by the way upo sahihi kwenye swala satellites kurushwa angani lakini operation ya baadhi ya hizi satellites mfano GPS ( global navigation satellites) ikitumia newtonian physics itatupa position za uongo sana aisee ndiomaana wantumia general relativity kuobtain position kwenye gps
 
Newtonian mechanics ni kwa sababu ya objects zenye mass kubwa na spidi ndogo wakati relativity ni kwa particles zenye mass ndogo sana na spidi kubwa sana (spidi ya mwanga).
unazingua wewe relativity ni kwaajili ya object zenye small masses? unapozungumzia stars, black holes unaona hivi vitu vinasmall masses kweli??
 
unazingua wewe relativity ni kwaajili ya object zenye small masses? unapozungumzia stars, black holes unaona hivi vitu vinasmall masses kweli??
Nashukuru mzee...at least umekuja kuni "rescue"
 
unazingua wewe relativity ni kwaajili ya object zenye small masses? unapozungumzia stars, black holes unaona hivi vitu vinasmall masses kweli??
Neno particle haina maana ya kuwa volumeless; inategemea na frame of reference na speed. Report zote zinazoonyesha starts ku-obey relativity ni kuhusu zile hypervelocity stars tu, na tena ni kwa kiwango kidogo sana, mwandishi mmoja alikiri kuwa inahitaji accuracy kubwa kwenye observations. Stars hizo zina speed ya kama1300000m/s ambayo pamoja na kuwa ni kubwa sana kwetu, bado ni chiniya speed of light ya 300000000m/s .
 
sasa mbona upo kwenye self contradiction umesema relativity ina govern vitu vynye mass ndogo hafu una mention stars sahizi? unless ilikuwa ni kosa la kiuandishi haukumaanisha ulicho andika mwanzo.
 
No offense Mzee...ila umeelewa ulichokiandika hapo?
 
Mi nasikia lab ya Newton iliungua zikapona kurasa 3 tu cha kitabu chake may be aliielezea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…