Kwanini vitanda haviwekwi katikati kwenye chumba?

Kwanini vitanda haviwekwi katikati kwenye chumba?

Chumba hicho hicho ndio bedroom,sitting room na jikoni. Sahau luxury yakuweka tanda katikati ya chumba bana.
 
Nadhani tatizo kweli huaga ni udogo wa chumba hata kabati hulazimika kubanwa ukutani.
 
ikiwa chumba kulala peke yake sawa kitakaa kati vizuri.kabisa, lakini vyumba vingi vya kulala ni stoo, sasa hapo kitanda kitakaa kati?
 
niliwahi kuoneshwa chumba na sebule na dalali maeneo ya sinza mfuniko wa septic tank uko sebuleni, nilichoka...

Hahahahaaa nimecheka sana lol au unakuta choo cha jiranu kinatizamana na dirisha lako.
 
Hahahahaaa nimecheka sana lol au unakuta choo cha jiranu kinatizamana na dirisha lako.
Chumba kidogo lazima kitanda kiwekwe Mwisho wa ukuta ,lakini nyumba nyingi kubwa zenye nafasi ya kutosha .. Style ya vitanda huwekwa Katikati .
 
Sababu kubwa ni ule wakati wa chakula cha usiku kuepusha msije anguka!
 
Vyumba vingi sis watanzania/waafrica huwa tunaweka vitanda ukutani kama utamaduni but ni tofauti na wazungu au nchi zilizoendelea wao wanaweka katkt pia nyumba zinazojengwa kisasa wanaweka kitanda katkat kwa kuiga wazungu na kuacha utamadun
 
Back
Top Bottom