Unaogopa kuanguka Kama Wafalme na watu mashuhuli wa kale.hahahahaha nimeoa tanga, binti mtamu asiyeomba pesa, jina ni Mamujee
niweke picha yake umuone ?
hapana, natunza kibunda changu, naogopa kupigwa, kudangiwa na kupewa UTI juuUnaogopa kuanguka Kama Wafalme na watu mashuhuli wa kale.
Mou ni shemeji yetu halali kabisa.hapana, natunza kibunda changu, naogopwa kupigwa, kudangiwa na kupewa UTI juu
alaaniwe Mou wa tabata
😂 😂 😂 😂 Azuma imenipitia pembeniMou ni shemeji yetu halali kabisa.
Kukaa na kiumbe kinapofikiri kinaita mawazo elfu moja yasiyo husika ni shida ...na hapo ndio mwanzo wa mawazo yao yanayoongozwa na hisia huwafanya kuwa viumbe wasioeleweka.Jibu ni moja tu....
Ishi nae kwa akili
Yaani wewe kama mwanaume unapaswa uwe na uwezo wa kufikiri much ahead than your woman..😊
Hata mwanamke mwenye akili anapenda apate mwanaume mwenye uwezo mkubwa wa kufikiri zaidi yake, and that's nature...🤗
Yaani mwanamke ahata akiwa President, anajiskia amani sana kama anamwanaume ambae anampa solutions katika kila jambo anali liuliza..🙂
Tembe Tena👀😂 😂 😂 😂 Azuma imenipitia pembeni
ningekuwa nabugia tembe 2 kutwa mara 3 mda huu
kiboko ya Tabata hiyoTembe Tena👀
Na Damar... haleti Azuma mezani ?kiboko ya Tabata hiyo
nyumba mmeza Azuma , nyumba mzima
huyu mechi ilinishinda, maana naingia dimbani tayari naongoza 3-0Na Damar... haleti Azuma mezani ?
Acha kuosha bunduki.huyu mechi ilinishinda, maana naingia dimbani tayari naongoza 3-0
Mungu aondoe UTI,Gono, Ngoma kwanza, Mungu arudishe wanawake wa zamani wasiopiga mizingaAcha kuosha bunduki.
Daaah!! Natamani sana ningalifahamiana na wewe. Sababu maneno yako ni yenye busara na amani ndani yake. Mungu akupe maisha marefu na yenye furaha tele....Bola tujiunge kwenye umoja wa wanaume bahiri duniani kuliko kujiaminisha kwa mwanamke kwa kumfanyia vitu vikibwa na vya thamani...
Wanangu wa "UWABADU" tukishirikiana wa wanangu wa "UWABATA" tuishi kwa akili na awa wadudu![]()



Haya mambo yapo wazi sana mkuu..... mwanaume kushindwa kukaa na kumuongoza mwanamke, huo ni udhaifu mkubwa na hiyo inakukosesha sifa ya kuitwa mwanaume kamili.Kukaa na kiumbe kinapofikiri kinaita mawazo elfu moja yasiyo husika ni shida ...na hapo ndio mwanzo wa mawazo yao yanayoongozwa na hisia huwafanya kuwa viumbe wasioeleweka.
Kitabu kimoja kilichosomwa na watu elfu moja kamwe hakiwezi kuwa na maana moja. AhsanteHivyo vitabu kaandika nani ?
Kuhusu kuishi sana Biological difference inasaidia as well as mazingira kipindi cha mababu zetu sasa kama wewe ndio unakwenda kuwinda kupambana na simba au kipindi kile una stress za kuleta mkate mezani unadhani maisha yako yatakuwa marefu....
Biological differences also help to explain women's higher longevity. Scientists believe that estrogen in women combats conditions such as heart disease by helping reduce circulatory levels of harmful cholesterol. Women are also thought to have stronger immune systems than men.
Na kuonyesha kwamba kuna reason behind ya maisha na stress kuna nchi ambazo men outlive women, nazo ni
In only a few countries in Asia (Afghanistan, Nepal, and Papua-New Guinea) and Southern Africa (Namibia and Zimbabwe) do men outlive women.
Huenda Asia maisha ya kina mama yana stress
