Dokta Uchwara
JF-Expert Member
- Apr 29, 2022
- 1,371
- 3,146
Wengine wanakula mtungi sana na bangi,wakiamka asubuhi jicho nyanyaaa,wanavaa miwani kuficha ilo
Kuna kazi kubwa ya kuongoza wajinga ndio maana macho yanauma kutokana na maumivu ya kichwa.kitaalamu wanasema (eye cotyledonhaeach)
Duh. Kumbe.Viongozi wa Afrika wengi wagonjwa, huoni lazima mtu asimame nyuma yao
Nchi zilizoendelea viongozi hujielewa.
Trump,Biden na Uzee wao ila hawavai miwani
DuhWanavaa ili waisione matatizo ya wa wtanganyika,
Wengine wanakula mtungi sana na bangi,wakiamka asubuhi jicho nyanyaaa,wanavaa miwani kuficha ilo
Sio kwamba wengine wanakuwa hawajapimwa afya mpaka wapate uongozi ndio wanajua wana matatizo ya macho?Sijui mmeshagundua? Kila kiongozi nchini lazima ajitutumue kuvaa kamiwani hata kama si mgonjwa wa macho.
Haka kastaili cha viongozi kuvaa vimiwani wamekatoa wapi? Ni fasheni? Ujiko? Au kasumba fulani ya kishamba...
Aisee huyu mwamba tumpe Chato.
Yeye mwenyewe aliyeandika hii thread akipewa free chechup ya macho lazima akutwe na tatizo la macho.Sio kwamba wengine wanakuwa hawajapimwa afya mpaka wapate uongozi ndio wanajua wana matatizo ya macho?