Kwanini viongozi wa mataifa yaliyoendelea hawana titles kama zetu?

Habari za mida hii wakuu

Nimekaa najiuliza hapa, kwanini viongozi wamataifa ya nje kama vile ulaya, Asia n.k hawana titles kama zetu

Huwezi kukuta Mtu maarufu kama vile Dr. Obama, Dr. Trump, Dr. Putin, Dr. Biden, Dr. Bush, Dr.

Kwanini? Karibuni.
Sasa hao ma Dr wa kikwetu nenda majumbani mwao huwezi mtofautisha na aliyeishia darasa pili unajiuliza huyu ndiye PhD holder au walimpachika mbona hana tofauti na mla ndumu !
 
Obama ni Prof au Dokta (phD) lakini husikii akiitwa vile. Kwanini? Hivi kuna cheo kingine nchini kikubwa kama Rais?

Lakini wa kwetu wanaona havitoshi wanarudi kuokoteza tuvyeo twa sifa za kisomi. Ningekuwa mimi ndio Mr. PRESIDENT ningewaambia waniite Rais bila hata kuweka mheshimiwa
 
Back
Top Bottom