Kwanini vimbunga vingi vina majina ya kike?

Naomba kujua kwa wale wataalamu wa haya mambo ni sawa kupewa majina ili kuweka kumbukumbu ya tukio hasa lakini ni kwanini hupewa majina ya wanawake tu.

Mfano;
Katarina
Irine
Anne
Pauline
Na Sasa pia tunaona jina la kike ni kwanini visiitwe wanaume au code name kama v.k 99 au P p 5?
Kila ukanda wanatumia namna yao ya kutoa majina,ukanda wa huku kwetu wanatoa majina kutokana na jinsia,huko maeneo ya mashariki ya mbali watoa kwa alphabetical order ya nchi zitakazo kumbwa.
Pia kuna bodi zinakaa kuchagua hayo majina sio mtu mmoja tu anakurupuka.

Pia wanatoa majina kama hivyo ili iwe rahisi kueleweka na kuwasiliana,imagine kimbunga kingeitwa Dysuadio ingekuaje.
 
Katika hali ya kufikirisha kumekuwa na mtiririko wa vimbunga vingi kupewa majina ya kike, mbali na Hidaya kuna Katarina, Idai, Elida, Genevieve, Emilia, ingawa vipo kadhaa vyenye majina ya kiume na visivyo na jinsi kama jobo, erick, keneth na mengineyo.

Inafikirisha kwa kweli.
Huenda watafiti wa hivyo vimbunga ni wanawake ndio maana vinapewa majina ya kike.
 
Watu washasema huko kimbunga hidaya kikija tunakipa mimba.
99% ya watz ni vichaa
 
Wataalamu wanavipa majina ya kike Kwa sababu havitabiriki kihususa kama vile mwanamke halisi anavyobadilikabadilika vimbunga vinapewa kutoka na tabia hiyo...

Hiyo ni tabia ya vimbunga vingi na ndio unaona majina ya kike Sana

Pia kibunga vya majina ya kike vina madhara kuliko venye majina ya kiume
 
Katika hali ya kufikirisha kumekuwa na mtiririko wa vimbunga vingi kupewa majina ya kike, mbali na Hidaya kuna Katarina, Idai, Elida, Genevieve, Emilia, ingawa vipo kadhaa vyenye majina ya kiume na visivyo na jinsi kama jobo, erick, keneth na mengineyo.

Inafikirisha kwa kweli.
Mimi nahisi ni kwasababu wanawake hawatabiriki😔
 
Kila ukanda wanatumia namna yao ya kutoa majina,ukanda wa huku kwetu wanatoa majina kutokana na jinsia,huko maeneo ya mashariki ya mbali watoa kwa alphabetical order ya nchi zitakazo kumbwa.
Pia kuna bodi zinakaa kuchagua hayo majina sio mtu mmoja tu anakurupuka.

Pia wanatoa majina kama hivyo ili iwe rahisi kueleweka na kuwasiliana,imagine kimbunga kingeitwa Dysuadio ingekuaje.
Makes sense.
 
Katika hali ya kufikirisha kumekuwa na mtiririko wa vimbunga vingi kupewa majina ya kike, mbali na Hidaya kuna Katarina, Idai, Elida, Genevieve, Emilia, ingawa vipo kadhaa vyenye majina ya kiume na visivyo na jinsi kama jobo, erick, keneth na mengineyo.

Inafikirisha kwa kweli.
Mkuu,ukisoma mkasa wa Ayubu,katika Ayubu 1-2;7..utapata jibu la swali lako.
Shetani/Ibilisi ana vitengo vingi sana vya majanga,mf.hiki cha vimbunga, magonjwa,vita/ Ugaidi,Moto/mioto n.k,ana mbinu nyingi tofauti za utekelezaji kupitia kwa wafuasi wake[watu wa kawaida,wachawi,mapepo/majini]mengine anayatekeleza mwenyewe...Kuhusu majina, baadhi ya watu wamejibu vizuri [kupitia mwanamke, Shetani anafanikisha uchawi wake kirahisi zaidi].
Pigo/janga lolote lililoachiliwa na MUNGU, hakuna mtu ayelitungia jina kabla halijatokea,mf.gharika ya wakati wa Ndugu,mapigo ya Farao[Misri]n.k..Pia tujifunze kwa kilichotokea Brazil baada ya kumdhihaki nakumkufuru MUNGU kwenye sherehe/sikukuu yao ya msimu miaka michache iliyopita.
Kwa nyakati hizi tunazo ishi,ukuona/kusikia mamlaka/taasisi ikitoa utabiri wa janga ambalo limeshapewa jina [kabla halijatokea],tambua hiyo sio kazi ya MUNGU.BIBLIA ina majibu ya maswali yote,tuisome na tuielewe.
 
Back
Top Bottom