Alex24hrs
Senior Member
- Apr 19, 2024
- 125
- 190
Huenda watafiti wa hivyo vimbunga ni wanawake ndio maana vinapewa majina ya kike.Katika hali ya kufikirisha kumekuwa na mtiririko wa vimbunga vingi kupewa majina ya kike, mbali na Hidaya kuna Katarina, Idai, Elida, Genevieve, Emilia, ingawa vipo kadhaa vyenye majina ya kiume na visivyo na jinsi kama jobo, erick, keneth na mengineyo.
Inafikirisha kwa kweli.