Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 8,844
- 8,826
- Thread starter
- #41
Kabisa msimamo KWA mwanaume ni suala la msingi sanaUpo sahihi sana, kwanza mimi sipendi mwanaume ambae hana msimamo kwenye maamuzi yke, hasimami km mwanaume yani yupo yupo in Short mwanaume mpoleeeee kupitiliza simpendi unakuta mwanamke kafanya kosa kuubwa anashidw kumuiliz eti ooh ataniacha shika tia makofi...... Wanaume saivi wapo wachache mnooo