nyani mkindu
JF-Expert Member
- Aug 30, 2017
- 537
- 976
Utajiamini vipi wakati hauna ELA,
Wadada wengi siku izi wanapenda chapaa.
Wadada wengi siku izi wanapenda chapaa.
Heee sasa serikali ikutengenezee mazingira gani kwenye mahusiano
Okeeee naanza kukupata kwamba anashindwa hata kumkemea mke kwa sababu na yeye hatimizi yanayompasa kuyatimiza, haya haya noted mkuuTatizo sio mahusiano wala siyo kutojiamini tatizo wakiwa ndani ya uhusiano hawawezi kutekeleza majukumu yao moja wapo ni kutomtimizia mwanamke haki yake ya msingi kimapenzi.
i wish ungeelewa multiple effect ya nilichokueleza
hata google nguzo muhimu za kufikia confidence,[/QUOTE
Natamani nikuelewe ila napata shida, kwamba serikali inasababisha mwanaume kushindwa kujiamini hata kwa mke wake mwenyewe aliyemlipia mahari
Asa nitatafutaje wakati sina ela?Sio wote hiyo perception tu tafuta mwanamke wa saiz yako
Mhmmmm!!.labda kwenye tamthilia za kikorea na ufilipino ila kwa Tanzania BILA pedal ni FUTURE IMPOSSIBLE TENSE![emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji51]Not true, kwenye suala la mahusiano hayo hayapo
Kwani hela mnazozizungumzia ni zipo, unaposema huna hela unakula nini, unavaa nini, unalala wapi? Inamaana wote wenye wapenzi wana hela?Mhmmmm!!.labda kwenye tamthilia za kikorea na ufilipino ila kwa Tanzania BILA pedal ni FUTURE IMPOSSIBLE TENSE![emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji51]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo sawasawaNdio sio wote mkuu ndo maana sijasema vijana wote ila nimetumia wengi
Not true, kwenye suala la mahusiano hayo hayapo