Kwanini vijana wengi siku hizi wanajihusisha na mapenzi ya jinsia moja?Mchawi ni nani?

Wanaume tunazidi kupungua inasikitisha. Wakati tunaambiwa Duniani wanawake ni wengi kuliko wanaume lkn bado wanaume nao wanaongeza idadi ya wanawake
 
Kulea mtoto wa kiume katika kipindi hiki ni sawa na ngamia kupita katika tundu la sindano.

Namshukuru Mungu kwa alionipa na nawaombea sana wale wenye watoto wa kiume.
 
Kumbe hii ndio ID yako... Tunapishana humu jf kumbe no majiran .... Usisahau kunirudishia memory yangu
 
Kulea mtoto wa kiume katika kipindi hiki ni sawa na ngamia kupita katika tundu la sindano.

Namshukuru Mungu kwa alionipa na nawaombea sana wale wenye watoto wa kiume.
yaani sikujua yule jamaa ni punga
 
Hili sasa ni janga la kitaifa hapa nchini
Kuna jamaa yetu mmoja ambaye ni jirani yetu kabisa mimi namuona kama ndugu tu
Ana mazoea akija akikuta simu yangu anacheki music na video sasa jana nilimuomba card reader niitumie kidogo akanielekeza ilipo nikaenda nikaichukua sasa kufika getto kuchek card reader kumbe ina memory card nikachukua memory card ile nikaweka kwenye simu la haula! Nilichokutana nacho sikuamini!
Jamaa amejaza video za mashoga na picha za wanaume tu
Sikuamini ila nikajifanya sijaelewa chochote nikasema ngoja nimrejeshee memory yake niendelee tu na card reader
Ilikua ni kumpima tu atafanya nini nilivyompa memory nikamwambia niliikuta kwenye card reader alishtuka sana nilivyompa
Nikacheki akaunti yake ya facebook kweli asilimia kubwa ya rafiki zake ni mashoga na pia amejiunga magroup mengi ya mashoga na jamaa anajifanya mlokole balaa
Dunia inaelekea pabaya sana nimegundua watu wengi sana wanajihusisha na ushoga ila ni kwa siri ikiwemo waume za watu, vijana wadogo mpaka makada na viongozi wakuu
Kuna haja kubwa sana ya kujitahidi watoto wetu wa kiume wasitumbukie katika usodoma na gomora
Tatizo ninini wakati wanawake wamejaa?
Hebu nitajie acc. yake fesibuku na Mimi nijionee Mkuu
 
Nikionaga mada kama hizi huwa mwili wangu unasisimka sana kwa sababu mtu kama huyo kwa tabia alizo nazo na ndio kuwe na vitoto vya kiume ambavyo vimemzoea mara mjomba mjomba lazima mwisho wa siku avifanyie vitendo ambavyo sivyo kama sio kuwafunza tabia za kipumb**u.

Kumkalia kimya sio dawa bro kwa sababu anazidi kukomaa mana hata na wewe mwenyewe uko hatarini kuombwa mchezo kwa sababu kashaanza dalili mana kukuwekea hizo picha zake humo alidhamiria na sidhani kama hakujua.

Ukishindwa kaa naye mbali aisee
 
Cku hizi kuna baadhi ya taasisi kama NGOs huanzishwa kwa nia ya kuhamasisha na kushawishi vijana wa kike na wa kiume kufanya mapenz ya jinsia moja. Mara nying hushawishiwa kwa kupewa vitu mbali mbali ili kuwavuta kwa wepes.
 
Nikionaga mada kama hizi huwa mwili wangu unasisimka sana kwa sababu mtu kama huyo kwa tabia alizo nazo na ndio kuwe na vitoto vya kiume ambavyo vimemzoea mara mjomba mjomba lazima mwisho wa siku avifanyie vitendo ambavyo sivyo.

Kumkalia kimya sio dawa bro kwa sababu anazidi kukomaa mana hata na wewe mwenyewe uko hatarini kuombwa mchezo kwa sababu kashaanza dalili mana kukuwekea hizo picha zake humo alidhamiria na sidhani kama hakujua.

Ukishindwa kaa naye mbali aisee
mkuu ni kweli kwa hili lazima nimuulize kiroho safi tu
 
Cku hizi kuna baadhi ya taasisi kama NGOs huanzishwa kwa nia ya kuhamasisha na kushawishi vijana wa kike na wa kiume kufanya mapenz ya jinsia moja. Mara nying hushawishiwa kwa kupewa vitu mbali mbali ili kuwavuta kwa wepes.
hizi Ngo's ni za kuangalia mno
 
Back
Top Bottom