Kwanini vijana wengi siku hizi wanajihusisha na mapenzi ya jinsia moja?Mchawi ni nani?

Hili sasa ni janga la kitaifa hapa nchini
Kuna jamaa yetu mmoja ambaye ni jirani yetu kabisa mimi namuona kama ndugu tu
Ana mazoea akija akikuta simu yangu anacheki music na video sasa jana nilimuomba card reader niitumie kidogo akanielekeza ilipo nikaenda nikaichukua sasa kufika getto kuchek card reader kumbe ina memory card nikachukua memory card ile nikaweka kwenye simu la haula! Nilichokutana nacho sikuamini!
Jamaa amejaza video za mashoga na picha za wanaume tu
Sikuamini ila nikajifanya sijaelewa chochote nikasema ngoja nimrejeshee memory yake niendelee tu na card reader
Ilikua ni kumpima tu atafanya nini nilivyompa memory nikamwambia niliikuta kwenye card reader alishtuka sana nilivyompa
Nikacheki akaunti yake ya facebook kweli asilimia kubwa ya rafiki zake ni mashoga na pia amejiunga magroup mengi ya mashoga na jamaa anajifanya mlokole balaa
Dunia inaelekea pabaya sana nimegundua watu wengi sana wanajihusisha na ushoga ila ni kwa siri ikiwemo waume za watu, vijana wadogo mpaka makada na viongozi wakuu
Kuna haja kubwa sana ya kujitahidi watoto wetu wa kiume wasitumbukie katika usodoma na gomora
Tatizo ninini wakati wanawake wamejaa?
Ww umewaona wapi
 
Wakati wakianzisha taasis hizo au NGOs huweka lengo zuri la kusaidia jamii, mfano kutoa elimu kuhusu ishu za HIV. Baada ya kupata usajili kisheria wanafanya mambo mengine ambayo wameyalenga ikiwemo kuharibu jamii. hivi juzi tu Zanzibar wamekamatwa vijana 20 kwenye ukumbi ya hotel flani wakipeana semina za mapenz ya jinsia moja kupitia kitaasis flan.
inauma sana hizi ngo zinaachwa tu
 
Mkuu.....

Pole kwa matatizo yaliyokupata pia ningependa kukushauri anza kumfuatilia nyendo zake kama ni shoga au ana jihusisha na ubahasha, wenyewe wanaita ( top au bottom ) endapo utajua ukweli nakushauri uongee naye na kumshauri apunguze hiyo tabia taratibu na mwishowe ataacha kabisa, ila inasikitisha mno kwa kijana wa kiume kushiriki mapenzi ya jinsia moja hata vijana wa kike pia, ushiriki wa kufanya mapenzi kwa kinyume na maumbile pia si sawa kuna ulazima hatua ichukuliwe, ni vigumu mtu aliye kwisha anza kushiriki mapenzi ya jinsia moja ila ni kumshawishi ili aweze kupunguza taratibu na hatimaye aache kabisa michezo hiyo hatarishi.
imenisononesha sana hii mkuu
 
sasa ni wivu ndo umekufanya uje kumuanika huku au......kuwa wa kiume......angalia njia sahihi ya kumsaidia atoke huko na sio kelele za kishoga shoga hapa......watakutamani na wewe....
 
Kuna tatizo kubwa sana,waathirika wengi ni generation ya 90's, wanarubuniwa sana haswa kwa sababu wanapenda maisha fulani ambayo kuyapata ni ngumu kwa hio kuna watu wana take advantage kuwafanyia huo mchezo.Tatizo ni kubwa kuliko mnavyodhani ni kubwa mno.
 
Hili sasa ni janga la kitaifa hapa nchini
Kuna jamaa yetu mmoja ambaye ni jirani yetu kabisa mimi namuona kama ndugu tu
Ana mazoea akija akikuta simu yangu anacheki music na video sasa jana nilimuomba card reader niitumie kidogo akanielekeza ilipo nikaenda nikaichukua sasa kufika getto kuchek card reader kumbe ina memory card nikachukua memory card ile nikaweka kwenye simu la haula! Nilichokutana nacho sikuamini!
Jamaa amejaza video za mashoga na picha za wanaume tu
Sikuamini ila nikajifanya sijaelewa chochote nikasema ngoja nimrejeshee memory yake niendelee tu na card reader
Ilikua ni kumpima tu atafanya nini nilivyompa memory nikamwambia niliikuta kwenye card reader alishtuka sana nilivyompa
Nikacheki akaunti yake ya facebook kweli asilimia kubwa ya rafiki zake ni mashoga na pia amejiunga magroup mengi ya mashoga na jamaa anajifanya mlokole balaa
Dunia inaelekea pabaya sana nimegundua watu wengi sana wanajihusisha na ushoga ila ni kwa siri ikiwemo waume za watu, vijana wadogo mpaka makada na viongozi wakuu
Kuna haja kubwa sana ya kujitahidi watoto wetu wa kiume wasitumbukie katika usodoma na gomora
Tatizo ninini wakati wanawake wamejaa?
 
Mchawi mkubwa ni malezi yaliyoingiliwa na utandawazi!!

Ushaona "vimama" vya siku hizi vinavyowapoadoa watoto wa kiume ili tu waonekane "wazuri" then wanavalishwa nguo za kufanana na mama mtu kuanzia viatu kisha wanapiga picha za mapozi ya hatari sana!! Mwisho wa siku wanaringishiana kule wanaita sijui Insta....!!!
HUO NDIYO USENGE UNAOFANYWA NA WAMAMA WENGI, MTOTO WA KIUME ANASHINDWA HATA KUTAMBULIKA
 
Back
Top Bottom