Kwanini vijana wa Tanzania wanazeeka haraka?

my name is my name

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2015
Posts
2,016
Reaction score
2,402
Kuna kaka nilikuwa namuonaga handsome sana. Sijamuona miaka mingi tokea tuhame leo nimemuona instagram amezeeka mpaka anatia huruma uhandsome wote umesha, na ninavyojuwa hajafika hata 25 nakumbuka mimi wakati niko standart 7 yeye alikuwa secondary ila sikumbuki darasa. Sasa leo nimemuona amekomaa amezeeka utafikiri ana 40 kumbe ni mtoto tu. Mwenye alikuwa ga serious huyo hataki mazoea alikuwa anasoma awe engineer sasa sijui hajawa engineer tena naona anapost picha anafundisha amekuwa sijui mwalimu wa nursery anapost picha na vitoto vimevaa uniform vitoto vichafuuuu. Amezeeka amekuwa kama mzee mpaka huruma. Hivi kwanini vijana wa tz wanazeeka mapema? Tatizo ni nini?
 
Kuzaliwa mwanaume mateso mateso kuhangaika. Nitarudi tu kwenye enzi zangu maana maisha yamenipiga ila napigana nayo ili nirudishe zangu heshima
 
Pombe Kali ,maisha magumu ,ngono zembe,madawa ya kulevya ,vyakula vibovu na kukosa muda wa kipumzika tegemea=ubabu kwa speed ya 5G
 
Umechukua sample ya mtu mmoja halafu ukatoa matokeo ya vijana wote wa Tz.

Umekosea sana kwenye hii mada.

Hata na hivyo zipo sababu nyingi zinazohusiana na hiyo hali. Ni vyema ungemuuliza muhusika ili upate jibu kamili.
 
Pombe Kali ,maisha magumu ,ngono zembe,madawa ya kulevya ,vyakula vibovu na kukosa muda wa kipumzika tegemea=ubabu kwa speed ya 5G
Sidhani kama anakunywa pombe na madawa labda hizo sababu nyingine
 
K Vant inachanganywa na energy drink, lazima sura ukauke
 
tehteh
wewe utakuwa ni stalker si kwa povu hilo,,,
 
Labda ametumia ile face app kujizeesha ila tunazeeka mapema kutokana na pombe Kali, kazi ngumu na wanawake wazee
 
Kuna kaka nilikuwa namuonaga handsome sana. Sijamuona miaka mingi tokea tuhame leo nimemuona instagram amezeeka mpaka anatia huruma uhandsome wote umesha, na ninavyojuwa hajafika hata 25 nakumbuka mimi wakati niko standart 7 yeye alikuwa secondary ila sikumbuki darasa. Sasa leo nimemuona amekomaa amezeeka utafikiri ana 40 kumbe ni mtoto tu. Mwenye alikuwa ga serious huyo hataki mazoea alikuwa anasoma awe engineer sasa sijui hajawa engineer tena naona anapost picha anafundisha amekuwa sijui mwalimu wa nursery anapost picha na vitoto vimevaa uniform vitoto vichafuuuu. Amezeeka amekuwa kama mzee mpaka huruma. Hivi kwanini vijana wa tz wanazeeka mapema? Tatizo ni nini?
Punyeto
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom