Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,426
- 28,231
Aibu yako, sikuambii na usinipotezee muda kuna mada nyingi nenda huko ukachangie...
Hauna cha kuniambia. Unaandika ujinga eti wenzetu wenye degree wana uhakika wa ajira. Kawadanganye wengine
Aibu yako, sikuambii na usinipotezee muda kuna mada nyingi nenda huko ukachangie...
Kwendaaaa ungejua navyokuchukia usingejaribu kuchangia mada zangu mpuuzi we!
Mada zako nitachangia na nitakukosoa na hautanifanya kitukwendaaaaaa mpuuzi wewe SIPENDI UCHANGIE MADA ZANGU...nitakuwa nakutusi....eti sina facts wewe uliyetembelea china kwa kuuza pumbu lako ndio una facts...
Huna uwezo huo