Kwanini vijana wa sasa wana uwezo mdogo wa kufikiri?

Multi-skilled

JF-Expert Member
Mar 1, 2023
802
3,048
Kiukweli inatafakarisha sana kuona vijana wa kitanzania wanashindwa kung'amua maswala mbali mbali yenye mustakabali mzuri kwa nchi na dunia.

Vijana wengi wa miaka ya 2000 wanavichwa empty (kichwani zero), hakuna creativity just umbea umbea, fashion na Kutamani mafanikio ya haraka bila kujishughulisha (tamaa)

Wakati the 1990s wanajadili katiba, transformation ya mitaala ya elimu, wanareason na kuumiza kichwa sana kuhusu maisha na pia wako interested sana na political change & transformation, 2000s wako mbali sana na hivi vitu na wanavijadili kwa wepesi kama haviwahusu.

Nakumbuka the 1980s walikuwa focused sana wengi walikosa elimu lakini mawazo na mipango yao ili make sense sana.

Nini kinaenda kutokea kwenye politics, economy, na culture? Je, Mabeberu watatumia gap la vijana empty headed kutunyonya zaidi?

Je watakuja kutokea wakina Nyerere, Magufuli, Kikwete, benja, Lissu, Zitto, Slaa, Mbowe, Maalim, mdee, na wengine?
 
Hii kauli huwa inarithishwa vizazi hadi vizazi kwa kila kizazi kujiona bora kuliko kilichofuatia. Ni kawaida Tu mkuu na hawa waliopo watakisema kizazi cha miaka ya 2010 kama cha 80 kilivyojiona bora kuliko cha 90..
 
Kiukweli inatafakarisha sana kuona vijana wa kitanzania wanashindwa kung'amua maswala mbali mbali yenye mustakabali mzuri kwa nchi na dunia.

Vijana wengi wa miaka ya 2000 wanavichwa empty (kichwani zero), hakuna creativity just umbea umbea, fashion na Kutamani mafanikio ya haraka bila kujishughulisha (tamaa)

Wakati the 1990s wanajadili katiba, transformation ya mitaala ya elimu, wanareason na kuumiza kichwa sana kuhusu maisha na pia wako interested sana na political change & transformation, 2000s wako mbali sana na hivi vitu na wanavijadili kwa wepesi kama haviwahusu.

Nakumbuka the 1980s walikuwa focused sana wengi walikosa elimu lakini mawazo na mipango yao ili make sense sana.

Nini kinaenda kutokea kwenye politics, economy, na culture? Je, Mabeberu watatumia gap la vijana empty headed kutunyonya zaidi?

Je watakuja kutokea wakina Nyerere, Magufuli, Kikwete, benja, Lissu, Zitto, Slaa, Mbowe, Maalim, mdee, na wengine?
Tatizo ni Bongo fleva
 
Akili imemezwa na smart phone
IMG_20230507_181239~2.jpg
 
Sawa kijana wa zamani.
Mzazi mwerevu lazima amfundishe mtoto ake uerevu, na mpumbavu hukaa kimya.
 
Back
Top Bottom