Kwanini vijana wa Afrika ni tegemezi na wapumbavu zaidi duniani?

Haujui kama mwenyekiti wa ccm ana 20%.kila tiketi IKISHINDA?
AMKA.JIONEE NGUVU YA BUKU.
 
Baada ya kushindwa kumla muhindi abunuwasi ali amua kuanzisha mashambulizi zidi yake....betting sio ya kila.mtu
 
Kuna mdau aliwai kuleta uzi unataka kujidedisha kumbe bado upo??? Ishi maisha yako masuala ya kufatilia watu sio sawa.
Kwa ujumla sifuatilii maisha ya mtu ila nimeandika uhalisia uliopo kwenye jamii ya Africa / Tanzania. Na kama unaona nimekuudhi unaweza kupita tu hata bila kuandika chochote.
 
Yawezekana; si unajua na mimi ni wale wale walokula ugali wa mahindi toka utotoni? Haya nimeyajua ukubwani ndo maana nayaandika japo kwa kukosea ili watakaosoma wachukue kile nilichomaanisha na sio kile kilichokosewa!
Hahahaha Adui wetu ni Diet
 
Usitutusi wala kutulaumu ndivo tulivokalilishwa na waliotutanglia kama sio na Viongoz wetu uchawara.
 
Usitutusi wala kutulaumu ndivo tulivokalilishwa na waliotutanglia kama sio na Viongoz wetu uchawara.
Simtusi mtu bali najaribu kuamsha hisia ili bongo iamuke! Samahani kama umenielewa vibaya.
 
Wewe ndio hamnazo kabisa tena una uwivu wa kupindukia walahi
Hayo MANENO yanaenda kuwa kwako na kizazi chako milele yote walahi
Pathetic DNA walahi
 
Akili zoote zimehamishiwa kwenye siasa ndo maana kijana akipata ukuu wa wilaya anapewa hongera za mafanikio utafikiri hiyo ni fani
 
Vijana wa Africa tuko hivi kwa sababu ya mifumo na hasa ujinga tuloachiwa na wazungu.
Nyie wa ulaya na marekani mkoje mkuu?
 
Back
Top Bottom