Kwanini vijana wa Afrika ni tegemezi na wapumbavu zaidi duniani?

Akili zoote zimehamishiwa kwenye siasa ndo maana kijana akipata ukuu wa wilaya anapewa hongera za mafanikio utafikiri hiyo ni fani
Umeona; K
azi za kuteuliwa,
Kuchaguliwa,
Watu wanaacha mambo waliyosomea wanaenda kupewa ubalozi .. ....
Yupo wa kulaumiwa japo kisaikolojia hatupaswi kulaumu kwa kuwa limeishatendeka .. inabidi tuyafanyie kazi yasiendelee.
 
Kuwalaumu vijana haisaidii.

Waonyeshe namna gani wanaweza tengeneza Tsh 3,000, 5,000, 10,000, 100,000.....etc

Binafsi naona maendeo ya technology yanetoa opportunities nyingi kujipatia kipato.

Ni vile vijana wa Ki-Tz hawazijui hizi fursa.

Au kama wanazijua basi wanakutana na ugumu kwasababu ya lugha.

Kwa mfano nawafahamu vijana wadogo hapo Kenya na UG wanatengeneza mshiko mrefu kwenye platform kama UpWork, Fiverr, Freelance.com.

Tena unakuta kazi anafanya ni kutafsiri English kwenda Kiswahili.

Wanatengeneza $300 - $1000 a month. Hii ni hela nzuri.

Nimeona labda nisaidie vijana kuwapatia platform ya Kiswahili watakayoweza kufanya kazi za namna hii. Au yoyote ile. Muhimu ujuzi wako tu.

Watu wafahamu kuna hela nyingi mtandaoni.

Jifunze skill fulani. Utajipatia kipato wala hutosumbuka kutembeza barua.

Nimeona ni-share hili.

Nitumie private message au email wiserastarising@gmail.com

Niambie wewe unaujuzi gani au huduma gani unaweza kutoa ili nijue namna bora yakukukutanisha na wanaohitaji hiyo hudumu.

Nipo kwenye hatua za mwisho kutengeneza website kwahiyo nataka nijue jinsi tunavyoweza kuboresha hili.

Nitajibu haraka kila ujumbe au email nitakayopokea.
 
Vijana wa Africa tuko hivi kwa sababu ya mifumo na hasa ujinga tuloachiwa na wazungu.
Nyie wa ulaya na marekani mkoje mkuu?
Ukijua tatizo ukaendelea kufanya kejeli .. litakuwa tatizo mama! Nani wa Ulaya?
 
Kuwalaumu vijana haisaidii.

Waonyeshe namna gani wanaweza tengeneza Tsh 3,000, 5,000, 10,000, 100,000.....etc

Binafsi naona maendeo ya technology yanetoa opportunities nyingi kujipatia kipato.

Ni vile vijana wa Ki-Tz hawazijui hizi fursa.

Au kama wanazijua basi wanakutana na ugumu kwasababu ya lugha.

Kwa mfano nawafahamu vijana wadogo hapo Kenya na UG wanatengeneza mshiko mrefu kwenye platform kama UpWork, Fiverr, Freelance.com.

Tena unakuta kazi anafanya ni kutafsiri English kwenda Kiswahili.

Wanatengeneza $300 - $1000 a month. Hii ni hela nzuri.

Nimeona labda nisaidie vijana kuwapatia platform ya Kiswahili watakayoweza kufanya kazi za namna hii. Au yoyote ile. Muhimu ujuzi wako tu.

Watu wafahamu kuna hela nyingi mtandaoni.

Jifunze skill fulani. Utajipatia kipato wala hutosumbuka kutembeza barua.

Nimeona ni-share hili.

Nitumie private message au email wiserastarising@gmail.com

Niambie wewe unaujuzi gani au huduma gani unaweza kutoa ili nijue namna bora yakukukutanisha na wanaohitaji hiyo hudumu.

Nipo kwenye hatua za mwisho kutengeneza website kwahiyo nataka nijue jinsi tunavyoweza kuboresha hili.

Nitajibu haraka kila ujumbe au email nitakayopokea.
Ahsante kuonesha kujali; vijana wanaweka salio kwenye smartphone zinafia humo badala ya kuzifanyia kazi.
 
Unasemaje niache kubet hahahaha .......tablet euro250,iphne X dolls 999,hp kali ya 1.7 m,nokia 3310 120k.......hivyo na vingne vngi nawadai hawa jmaa yahn nina ghazabu nao atr....malecture wemwnyewe wanabet aisee leta mada mingine hii kitu tuachie
 
Mtoa mada ameahirisha kujirestisha anaona wenzake wapumbavu.
Unajua mmezoea maneno matamu kwenye matendo yasiyofaa ..
Mtu hata kama haeleweki akiitwa boss kichwa kinamjaa. Mimi sio wa hivyo; ma.la.ya aitwe hivyo, meneja aitwe hivyo, mjinga aitwe hivyo mzinzi n.k ili kujenga hali ya watu kuchukia hali zao. Hata kama mimi nina sia unaijua ukiniona niite hivyo. Unafiki tuweke pembeni.
 
Ahsante kuonesha kujali; vijana wanaweka salio kwenye smartphone zinafia humo badala ya kuzifanyia kazi.
Ni kweli mkuu.

Watu wapo na internet kila siku lakini hawawezi kutengeneza hata buku 3 wanabaki kulialia.

Mimi nipo serious sana kwenye hii project yangu. Na ninajua watu wengi watajiunga na kujipatia kipato.

Nipo kwenye maandalizi ya mwisho kukamilisha website ili kuanza kazi mara moja.

Tena business model nayotumia ni rahisi na salama.

Huitaji kutoa fedha yoyote.

Sasa hivi najaribu kuwaambia watu wanitumie ujumbe kuuliza maswali au mapendekezo ili nipate namna bora yakuwahudumia.

If anyone is interested drop me a private message or send mail at wiserastarising@gmail.com
 
Kikubwa kila mtu na maisha yake,hatulishani.
Jambo muhimu ni kuishi kwa vya halali bila kumuumiza mtu na kumwaga damu,akili hata Simba anayo.
 
Unajua mmezoea maneno matamu kwenye matendo yasiyofaa ..
Mtu hata kama haeleweki akiitwa boss kichwa kinamjaa. Mimi sio wa hivyo; ma.la.ya aitwe hivyo, meneja aitwe hivyo, mjinga aitwe hivyo mzinzi n.k ili kujenga hali ya watu kuchukia hali zao. Hata kama mimi nina sia unaijua ukiniona niite hivyo. Unafiki tuweke pembeni.
Nimekuelewa mtoa mada
 
Wewe ndio hamnazo kabisa tena una uwivu wa kupindukia walahi
Hayo MANENO yanaenda kuwa kwako na kizazi chako milele yote walahi
Pathetic DNA walahi
Acha personal attacks jadili kwa hoja kilicholetwa na mtoa mada ili kuonyesha huo uvivu wa kupindukia kiasi cha yeye kuwa hamnazo.
 
Kwanini vijana wa Afrika_Tanzania ni tegemezi na wapumbavu zaidi duniani?

Kila kijana anataka kucheza mchezo wa kubahatishia na kubashiri ili atoke kimaisha nchiya Tanzania inapokwenda kama serikali isipo fumbua macho kwa michezo hiyo ni wazi kesho Tanzania itakuwa ya walala hoi,
Kosa sio serikali wala vyama vya siasa au ushirika _Niliwahi kusema siku moja kile unachokula ndio kinashibisha akili na mwili wako yani ukila bagi akili yako ndivyo itakuwa hivyo kuwa na ukila mavi ndivyo akili yako hubaki kuwa ya kimavi,ingawa watu wanasema Elimu inayotewa vyuoni haina tija kwa kijana mbona wao wazungu wanakuja Tanzania kujifunza kwenye vyuo vya Tanzania kwanini waache kwako waje huku_ipo hivi kila kijana anayekuwa anataka kusoma ili ajiriliwe na serikali au akimbilie siasa hiki ndicho kilicho bakia kwa vijana wengi Tanzania.

Ila naomba kuwaambia kuwa akili za vijana wengi wa Tanzania hazipo sawa trust me or not! Swali la kwanza anza kwa kutambua wanacho kula kuanzia wakiwa wadogo wanalisha nini akili zao mili yao ?
Ni Ugali au wali na diet hii huwa haibadiliki ndio kila siku kama mlo wa maisha yao hadi wanafika ukubwani wanakula kwa mfumo ule ule na mtindo ule ule _ipo hivi Madhara ya kutumia uga wa Mahindi hata shirika la Afya linatambua hadi likaanzisha mfumo wa kuanza kuyatibu Mahindi hayo kabla ya kuwafikia hata wakimbizi na baadhi ya nchi Kwa kuongeza madini na kuyawekea dawa pamoja na vitamini kwani Mahindi pekee yake huathili mama mjamzito kisheria

Je Tanzania hayo mahindi huongezewa madini hayo ili kumwepusha mama na mtoto katika hatari ya maisha ingawa swala hili halifundishwi kwa mapana maana kama watumiaji wa Mahindi hayo wakitambua madhara ya mama mjamzito anapotumia pekee yake mahindi bila kutibiwa au kuongezewa madini madhara anayopata mama na mtoto ikiwemo wamama kuishiwa damu na kukosa madini mhimu ya mwili sio kwa mama hata kwa mtoto na ndio mtoto huyo aliyezaliwa leo hana kazi mtaani ingawa amesoma hadi chuo kikuu_yani madhara anayopata kijana aliyezaliwa akila vyakula vya ng'ombe hadi kuwa mkubwa umri wa kujitegemea akili yake huwa umekwisha athiliwa maana Mahindi pekee yake hufunika ukungu wa akili hili linafahamika na pia madhara mengine leo vijana wadogo wanakosa nguvu za kiume au hedhi chanzo kikuu ni pamoja na vyakula vyenye wanga ya Mahindi ambavyo ni sumu na SIO mahindi tu wali au mihongo vyote hivi vimesheheni sumu ndio maana unaaambiwa kula kiasi ila Tanzania vijana hawana kiasi tangu kuzaliwa kwao wanakula ni Ugali hadi kufa kwao ni lini watatokea wanasayansi ikiwa akili zinalishwa vyakula vyenye sumu ya kufubaza akili na wazungu walivyo welevu wanawapa misaada kwa nchi zenye nja ili wakose akili ya kujitegemea wabaki kuwa watumwa wa Taifa lao wenzetu wanakula mahindi ndio ila huliwa kwa adabu tena kwa kuchemshwa ,

Kwanini watoto wa matajiri hawana akili darasani ila wana akili ya kutafuta maisha yaliotanuka wengi husema ni mali za wazazi wao ila maskini wa akili sio! Kuwa wa mwisho darsani anaweza kuwa namba moja ila upeo wake ukabaki kukalili vitabu vya kikoloni na bado akawa palepale hata kama angepewa million 10 uwezo wake wa kwanza ni kuwa na smart phone ndio ujue akili ya maisha sio kuwa namba moja darasani ila kile unacholisha mwili wako leo ndio kitakacho dhofisha ubongo wako.

Tunashindwa nini kuacha kuwafundisha watoto wetu makosa yetu tuliyopitia kwa kuwafundisha ushauri wa kula vyakula vyenye faida mwilini na sio Ugali wala wali? Wazazi tujikakamue kwa hali yetu watoto wale vyakula vyenye thamani na sio mazoea; kile tunachowekeza kwa watoto wetu ndicho kitakuja kuzalisha kijana mpumbavu au mwenye mtazamo chanya wa taifa hili. Pesa mtatunza sana bank ila hamtakuwa na akili za kujenga maisha; ulipopanga au kujenga ndipo utakapo komea unawalaza watoto na mke wako kwa dagaa na ugali pesa unazotunza hazitajaa.

Mimi ndio nakwambia akili yako ilipofikia ndio mwisho ni mda wa kutumia fedha hizo kumlisha mtoto wako kuja kuwa expert ili ulipokomea aendelea hapo. Kibaya zaidi ni kwamba Africa ndo kuna uwezekano wa kupata virutubisho vingi vya kujenga akili za watoto lakini hawa wajanja wanakuja wanabeba wanapeleka kwao. Huko wanatengeneza products ambazo zinauzwa bei aghali kwa ajili ya kujenga akili za watoto wao.

Vyakula vimetajwa kwenye vitabu; na upatikanaji wake ni bei nafuu; ebu jiulize, nani anashindwa kupata vifuatavyo .. mchicha, spinachi, mlongelonge, mbegu za maboga, matunda tofauti, nafaka tofauti, mafuta ya samaki .. list ni kubwa sana!

Mwenye akili ndiye atakaye kuwa amenielewa, jifunze kitu.

Updates:
Michezo ya namna hii ilipaswa kuendelezwa ili kuchochea hamasa ya ugunduzi. Wao wakaanza kuleta matoi eti ndo ya kisasa!

Mambo yanayofanywa na viongozi yamesababisha vijana wengi kuchukia kwa nini wapo katika nchi kama hii. Siwezi laumu kwa tabia hizo ni matokeo tu ya frustration na stress tu.

N.B : Dunia ya sasa vijana wanaelewa maisha ya nchi nyingine tofauti na ilipokuwa awali.
 
Back
Top Bottom