Kwanini vibonge wengi wana roho nzuri?

Mioyo ya vibonge imezungukwa na nyama haipigwi na baridi.Hivyo wanakuwa na utulivu,maamuzi ya polepole na uhakika.Ni kinyume na wembamba.Nimejibu kwa utani Ila ndiyo hivyo.๐Ÿค”
 
Acha kujisifia....... deepPond nakujua wewe ni mfupi mweusi unakitambi kikubwa yani uko kama kimtungi cha gesi [emoji23][emoji23] jokes
Ha ha ha. ..waulize wanaonijua humu[emoji28]
 
Naunga mkono hoja ๐Ÿ‘๐Ÿ‘
 
Ukioa mwanamke bonge ukiliambia kitu linakusikia, kwenye mabishano ukilishtua "weeeeeh" linatulia. Sasa hivi vinjiti hivi ndio balaa
Kabisa mkuu,
vimbaumbau wabishi mno
Nnachofanya kimoja uko temeke, Ni kisumbufu na pasua kichwa balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ