Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,825
- 113,411
Kuwa na roho nzuri utanenepa, sijamaanisha wakondefu wana roho mbayaNa mimi nataka kua kibongee!
Ukiwa kibonge, utakuwa mtamu pia. Nashauri uanze kujenga mwili 😊😊Na mimi nataka kua kibongee!
Nina kg 73 nataka nifike 100Ukiwa kibonge, utakuwa mtamu pia. Nashauri uanze kujenga mwili 😊😊
Mkuu wewe ni Ke?Nina kg 73 nataka nifike 100
Ndiyo😂Mkuu wewe ni Ke?
Soon nafika 100kgUkiwa kibonge, utakuwa mtamu pia. Nashauri uanze kujenga mwili 😊😊
Mama yupi mkuu?mama pia ni KIBONGE
Ni-pm nina zawadi yako. Vibonge mna nafasi ya pekee kwenye ufalme wangu 😊😊Soon nafika 100kg
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]roho nzuri ni hulka, hata wembamba wanayo
mabonge hawavutii shepu lote limefunikwa na mafuta
sipendi kabisa kua mnafki kwenye hili
Basi siku zote najua wewe ni Me!!Ndiyo😂
Mama anaeupiga mwingi huko TanzaniaMama yupi mkuu?
acha hizo, tunza afya yakoNina kg 73 nataka nifike 100
Ndio kazi niliyobakisha hapa duniani mkuu🤣🤣Mzee unawaza chini ya kitovu tu...
Sio mbaya😂Basi siku zote najua wewe ni Me!!
Sipendi unene, ila nina asili ya unene..acha hizo, tunza afya yako
usisikilize hawa mafataki[emoji23]
jitahidi,Sipendi unene, ila nina asili ya unene..
Ninapingana nao Kila siku..
Unene na mavazi haviendani..
Napenda kudamsh...[emoji23]