Kwanini vibonge wengi wana roho nzuri?

Kwanini vibonge wengi wana roho nzuri?

DeepPond

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2017
Posts
43,312
Reaction score
109,413
Kuna utafiti mdg usio rasmi nmeufanya,

Asilimia kubwa ya Watu wanene sana (VIBONGE) Wana roho nzuri sana (Hawana roho mbaya,kijicho Wala husda na Cha mtu) na wana huruma sana (hasa wanawake)

Nmefatilia Sana,
1. Hasa Wale mama wa kambo wenye roho nzuri, wasionyanyasa watoto wa kufikia, Ukimchunguza vizur utagundua Ni wale WAMAMA VIBONGE

2. Manesi au wakunga wanaohudumia vizur wajawazito bila visirani, asilimia kubwa Ni VIBONGE

3. Walimu wengi wasio-wanoko Sana enzi zile nasoma, walikua ma-madam VIBONGE

4. Wamama wanaodekeza Sana watoto wao, asilimia kubwa Ni wamama VIBONGE. (mama angu Alkua mwembaba, Cha Moto nilikiona ktk ukuaji wangu,sijadeka kabisa kwa mama)

5. Rafiki zangu wengi wa kiume VIBONGE. Hawana roho mbaya kabisa, wao Ni peace&love

6. Mr. Christmass Ni kibonge, ona alivyo na upendo na watoto.

7. J.B mwigizaji nae Ni kibonge,hanaga baya na mtu.

8. Mzee wa kilingeni humu jf nae Ni kibonge, mtu Peace Sana humu jf

9. Hata Matrafiki wasioonea sana madereva, asilimia kubwa utagundua Ni WALE trafiki VIBONGE

10. Kwenye ofisi za serikali, ukimkuta boss kibonge. Utahudumiwa vizuri Sana.

Aisee, Mifano Ni mingi Sana,
Nanyi mnaweza kuongeza ya kwenu

Wataalam wa afya mtwambie,
Unene au wembamba una mahusiano gani na roho ya mtu, kwanini vimbaumbau ndo wanaongoza kwa roho mbaya DUNIANI?

Nawasilisha
 
Unene au wembamba una mahusiano gani na roho ya mtu, kwanini vimbaumbau ndo wanaongoza kea roho mbaya DUNIANI?

Nawasilisha
Kwa sababu hawajiwezi kukimbia
Kikinuka mda wowote lazima.waombe msaada
 
Mtu akishakua kibonge basi anakua na low self esteem na hatakujipenda hajipendi.
Asilimia kubwa wanakua chaotic na pia wanajiona kama watu wana wadharau.
Kama vipi anzisha mahusiano na mwanamke kibonge alafu uone.
 
Nimesoma tu Heading

Mimi nakazia hasa Mademu ndii balaaa yanapenda unaweza hisi wewe ni mdogo ake wa Mwisho

Hellen nakumiss na nakutakia kila la kheri katika ndoa yako unayotegemea kufunga hivi karibuni
 
Kuna utafiti mdg usio rasmi nmeufanya,

Asilimia kubwa ya Watu wanene sana (VIBONGE) Wana roho nzuri sana (Hawana roho mbaya,kijicho Wala husda na Cha mtu) na wana huruma sana (hasa wanawake)

Nmefatilia Sana,
1. Hasa Wale mama wa kambo wenye roho nzuri, wasionyanyasa watoto wa kufikia, Ukimchunguza vizur utagundua Ni wale WAMAMA VIBONGE

2. Manesi au wakunga wanaohudumia vizur wajawazito bila visirani, asilimia kubwa Ni VIBONGE

3. Walimu wengi wasio-wanoko Sana enzi zile nasoma, walikua ma-madam VIBONGE

4. Wamama wanaodekeza Sana watoto wao, asilimia kubwa Ni wamama VIBONGE. (mama angu Alkua mwembaba, Cha Moto nilikiona ktk ukuaji wangu,sijadeka kabisa kwa mama)

5. Rafiki zangu wengi wa kiume VIBONGE. Hawana roho mbaya kabisa, wao Ni peace&love

6. Mr. Christmass Ni kibonge, ona alivyo na upendo na watoto.

7. J.B mwigizaji nae Ni kibonge,hanaga baya na mtu.

8. Mzee wa kilingeni humu jf nae Ni kibonge, mtu Peace Sana humu jf

9. Hata Matrafiki wasioonea sana madereva, asilimia kubwa utagundua Ni WALE trafiki VIBONGE

10. Kwenye ofisi za serikali, ukimkuta boss kibonge. Utahudumiwa vizuri Sana.

Aisee, Mifano Ni mingi Sana,
Nanyi mnaweza kuongeza ya kwenu

Wataalam wa afya mtwambie,
Unene au wembamba una mahusiano gani na roho ya mtu, kwanini vimbaumbau ndo wanaongoza kea roho mbaya DUNIANI?

Nawasilisha
Kuna ukweli mke wangu ni bonge ila siwezi kusema vibaya kwenye roho nzuri mpole ila kujiliza jiliza ndo shida yake, hana baya na mtu .
 
Back
Top Bottom