Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 23,273
- 28,434
Usiandike kitu usichokijua(Holly Sea!).Holly Sea
Usiandike kitu usichokijua(Holly Sea!).Holly Sea
Yupo mwakilishi tangu mwaka 1964.Hivi ni sababu gani inafanya nchi ya Vatican isitambulike kama nchi na Umoja wa Mataifa? Kuna nini hapo kimejificha?
Huko ndiko alikotaka Nyerere kuifikisha Zanzibar baada kuivamiaSio sahihi kuilinganisha status ya Zanzibar na Vatican City.
Zanzibar ni kama Wales, Scotland, Greenland n.k They are not sovereign states.
Kwa sheria za kimataifa, moja ya sifa za sovereign states ni kuweza kuingia mikataba na mataifa mengine huru (other sovereign states), Zanzibar kama ilivyo Scotland, Greenland n.k hawana mamlaka hayo. Mamlaka hayo yapo kwenye serikali za JMT, UK na Denmark respectively.
Pengo na kampuni yake ya wasejaVatican na ITALY Wana mabalozi nchini wanamuwakilisha nani?
Hiyo ni passport ya Tanganyika in disguise. Wazanzibari hatuna imani nayo , tunaichukuwa kwa kulazimishwa kwani tumevamiwa hatuwezi kuweka passport yetuMungano hauna passport 2 ni 1 tu. Passport ya jamuhuri ya watu wa Tanzania over.
Karume aliwekwa na Nyerere Kama Alivyowekwa Samia na KikweteNyererw ndo alikuwa Rais wa Zanzibar!? Karume alikuwa wapi wakati huo?
Paschal, asante kwa uchambuzi wako. Hakuna nchi inaitwa au iliwahi kuitwa Tanzania Bara. Muungano huu ni fumbo.Yes Zanzibar ni nchi ndani ya nchi, kitaifa Tanzania japo ni nchi moja ya JMT, ndani ya JMT kuna nchi mbili, Tanzania bara na Tanzania Visiwani au Tanzania Zanzibar, tuna serikali mbili za SJMT na SMS, tuna marais wawili, mabunge mawili, na Mahakama mbili. Hivyo ndani ya muungano wetu ni muungano wa federation.
Nje ya muungano, Tanzania ni nchi moja ya JMT yenye muungano wa union wenye rais mmoja, rais wa JMT na Amiri Jeshi Mkuu, ina serikali moja ya JMT, Bunge moja, Mahakama moja.
P
Kwa mujibu wa CCM inavyotaka pamoja na kanisa KatolikiZanzibar sio nchi. Nchi ni Tanzania.
Unaumwa ?Usiandike kitu usichokijua(Holly Sea!).
Illuminati inaongozwa na mazayuni wa kiyahudi kama maandalizi ya ujio wa Masihi wao au ant ChristFuatilia kikundi cha illuminati, kinaongozwa na nani? Kuna shirika Moja ambalo ni mafia ulimwenguni .
Wewe unaona Holly Sea ni sahihi! Acha ujuaji wa kijinga, sasa baki na ujuaji na ujinga wako, utachekwa.Unaumwa ?
kama ulifikiri niliandika nisichokijua pole saaanA.
Maadam umejificha naona nikusaidie, HOLLY SEE siyo bahari takatifu(holly sea).Unaumwa ?
kama ulifikiri niliandika nisichokijua pole saaanA.
Pole braza I was in Rome few years ago. Umewekwa msituni kaka. Na vyote vipo mbele ya macho na kamwe hutaviona Wala kuelewa.Maadam umejificha naona nikusaidie, HOLLY SEE siyo bahari takatifu(holly sea).
Kwahiyo msimamo wako ni Holly Sea! Kwaheri nimekushindwa kwa hilo.Pole braza I was in Rome few years ago. Umewekwa msituni kaka. Na vyote vipo mbele ya macho na kamwe hutaviona Wala kuelewa.
Nilichokiandika sijakosea hata kidogo.
Sawa mtoto wa Papa Unataka kulinda legacy ya Apostolic See.Kwahiyo msimamo wako ni Holly Sea! Kwaheri nimekushindwa kwa hilo.
Aisee una chuki kubwa sana na Ukristo wee MzanzibariKwa mujibu wa CCM inavyotaka pamoja na kanisa Katoliki
Mimi sina chuki na ukristo naeleza vitabu vya kikristo vilivyoandika , sasa hio ndio chuki ?Aisee una chuki kubwa sana na Ukristo wee Mzanzibari