Hata Uhuru ulipokelewa Dar es salaam lakini makao makuu yako Dodoma! Fikiria hatua Mile Moja zaidi au walk extra mile!Mm nashangaa ukiristo umeanzia israil huko middle east alafu makao makuu ya ukatoriki uko itali ndo napata mashaka makubwa na wazungu na ukiristo....
1. Makadinali huwa wanapata uraia wa Italy au Vatican?Vatican sio nchi ni mji Mtakatifu, wenye hadji ya nchi kimataifa na Balozi nchi zote duniani ila sio dola; hauna polisi, jeshi, sarafu, nchi yenye dola inayotambuliwa ni Italy. Vatican ni mji mtakatifu.
Kule UN utambuzi ni wa dola tuu, ndio maana hata Zanzibar haitambuliwi kimstaifa.
P
Holy SEE.Holly Sea
Zanzibar sio nchi. Nchi ni Tanzania.Zanzibar siyo nchi
Isingejitoa ingefanywaje? Je ingeendelea kuwepo? Dunia dunia!Zanzibar ilishajitoa, inayotambulika ni United Republic of Tanzania.
Tukimaliza kuichambua Zanzibar tuhamie Hong Kong na Taiwan nako.Sio sahihi kuilinganisha status ya Zanzibar na Vatican City.
Zanzibar ni kama Wales, Scotland, Greenland n.k They are not sovereign states.
Kwa sheria za kimataifa, moja ya sifa za sovereign states ni kuweza kuingia mikataba na mataifa mengine huru (other sovereign states), Zanzibar kama ilivyo Scotland, Greenland n.k hawana mamlaka hayo. Mamlaka hayo yapo kwenye serikali za JMT, UK na Denmark respectively.
Jibu la swali namba tatu ni -: Dini na Nchi !!1. Makadinali huwa wanapata uraia wa Italy au Vatican?
2. Mizinga 21 anayopigiwa Papa akiwasili nchi ya ugenini Ni Kwa ajili ya nini?
3. Balozi wa Vatican na Italy kwenye nchi moja wanamuwakilisha nani na Nani?
Mm nashangaa ukiristo umeanzia israil huko middle east alafu makao makuu ya ukatoriki uko itali ndo napata mashaka makubwa na wazungu na ukiris
Injili imeanzia Israel kisha hapo ndio watu wakatengeneza neno ukristo.Ukatoliki haukuanzia Israel hili ni dhehebu tu kama mengine japo ni dhehebu kubwa mno ila limeanzia Italy.Mm nashangaa ukiristo umeanzia israil huko middle east alafu makao makuu ya ukatoriki uko itali ndo napata mashaka makubwa na wazungu na ukiristo....
Mzazi/Baba/Mume, sometimes una ignores vikosa vidogo vidogo vya mkeo na watoto ambayo havina madhara kwa familia. Hivyo katiba rasmi ni katiba ya JMT, haiyatambui mabadiliko hayo ya katiba ya Zanzibar kujiita nchi!.
As long as nchi kama nchi ni moja tuu, JMT, then hakuna tatizo mwingine yeyote kajiita nchi, mfano max anaweza kujiita rais wa jf na kuuita jf ni nchi ya JF.
Huoni huo ni uvunjifu wa katiba ya jamhuri ambao viongozi wameapa kuilinda sasa kina haja gani kuapa kulinda katiba?
Mji MTAKATIFU ni JERUSALEM, Jiji la JERUSALEM lipo Hata mbinguni.Vatican ni mji Mtakatifu wa Makao Makuu ya Kanisa Katoliki , wenye hadhi ya nchi kimataifa na Balozi nchi zote duniani, hivyo ni dola isiyo na jeshi, polisi, sarafu, uhamiaji, mipaka wala passport!. Inatambuliwa kama nchi ndani ya nchi, yenye dola inayotambuliwa ni Italy. Vatican ni mji mtakatifu.
Kule UN utambuzi ni wa dola za Political tuu, Vatican sio nchi ya Political, ni mji mtakatifu, ndio maana hata Zanzibar haitambuliwi kimataifa!.
P
SioKitendo tu cha kuwa na mabalozi tayari ni siasa. Tena siasa yao ni kali, wana hata uwezo wa kupangua maraisi popote duniani.
Kwamba Vatican wakiamua kumpangua Joe Bidden, Vladmir Putin na Marais wengine Duniani wanaweza ? Sio kweliKitendo tu cha kuwa na mabalozi tayari ni siasa. Tena siasa yao ni kali, wana hata uwezo wa kupangua maraisi popote duniani.
Askofu uko DELUSIONAL sana.Mji MTAKATIFU ni JERUSALEM, Jiji la JERUSALEM lipo Hata mbinguni.
Vatikano ni mji MTAKATIFU wa mchongo.