Kwanini Vatican haitambuliki na UN?

Kwanini Vatican haitambuliki na UN?

Mm nashangaa ukiristo umeanzia israil huko middle east alafu makao makuu ya ukatoriki uko itali ndo napata mashaka makubwa na wazungu na ukiristo....
 
Hivi ni sababu gani inafanya nchi ya Vatican isitambulike kama nchi na Umoja wa Mataifa? Kuna nini hapo kimejificha?
Ulitakiwa kuuliza swali kuhusu Palestina, badala ya Vatican isiyo na changamoto zozote zile za kujadili! Zaidi tu ya zile za kujifurahisha, na kuchangamsha kijiwe. Maana historia ya Vatican, inafungamana na siasa za Benito Musolini; Dikteta wa Italy wa wakati huo, aliyeamua kulimegea Kanisa hilo eneo la takribani hecta 29 tu, nje kidogo ya Mji wa Roma kuwa Makao Makuu ya Kanisa. Na lengo lake kuu lilikuwa ni kuliziba mdomo Kanisa, ili lisimkosoe kutokana na sera yake ya kifashisti.

Jiulize sasa ni kwa nini Palestina haitambuliki kama nchi mara baada ya kutangazwa Taifa la Israel mwaka 1948?
Na wakati kabla ya mwaka huo, Palestina ilikuwa ni nchi yenye mipaka yake? Tena historia yake inafanana kabisa na ya Tanganyika!


Kabla ya Vita ya Kwanza ya Dunia, ilitawaliwa na Dola ya Ottoman, na baada ya Ujerumani na Ottoman kushindwa vita, iliwekwa chini ya uangalizi (utawala) wa Waingereza, kama ilivyokuwa kwa Tanganyika.

Ila baada ya Vita ya Pili ya Dunia kuisha, nchi za Magharibi na UNO, kwa makusudi kabisa wakaamua kuifutilia mbali nchi ya Palestina, na kuanzisha nchi ya Israel ndani ya ardhi ya Wapalestina. Jiulize sasa "kwa nini walifanya huu uonevu kwa Wapalestina?"
 
Back
Top Bottom