Umaskini unaletwa na kutaka kufanya mambo mengi kwa wakati mmoja. Chagua kimoja unachokiweza na kukipenda kifanye kwa juhudi na ubunifu.....Hivyo hivyo katika taaluma huwezi kuwa eng. Dkt. Mtaalam wa kilimo n.k. . Chagua kimoja na kifanye na mwache Mwenye taaluma husika afanye kazi yake pale anapohitajika. . ...