Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Labda wabadilishe mfumo lakin toka January ni Kila mwez pdf sita (6) tu
Inaonesha ndo walivyojipangia ndani ya mwezi kwnye placement ni pdf 6,ndo wanajilazimisha kuzivunja vunja vpdf wapate vya kuweka tuone wanapiga kazi,maana kama pdf lina majina ya page 2 tu sasa si wangeunganisha tu,maana ukiangalia placement za mwezi huu zingefit tu kwa pdf 2 basiiiiii
 
Kuna mfumo wa kutoa placement...kuna watu wa kusign pia wakuu...
Kila kitu kina utaratibu, tuvumilie tu
 
Naomna kufahamu mwenye uelewa na hili hivi UTUMISHI hutumia njia gani Kupanga vituo kwa wale wanaobahatika kuingia DATABASE yao.Je hutumia njia ya kumtoa wa kwanza kuwekwa au wanapick randomly au wanawapanga in acsending order wa marks za juu ndo atakaeanza kutoka haijarishi lini amewekwa kwenye DATABASE?!!

Mfano; Candidate wa kwanza kafanya usaili mwezi wa 5 na alipa 80 akafanikiwa kuwekwa kwenye DATABASE na Candidate mwingine kawekwa mwezi wa 7 ila alipata 90 hizi ni saili tofauti mwezi wa 9 ikatokea nafasi yupi ataanza kuwa first consider.
 
Wanaangalia aliyefanya usaili akiwa wa kwanza. Hata mkilingana max wanaangalia nani alimaliza chuo mapema
 
Naomna kufahamu mwenye uelewa na hili hivi UTUMISHI hutumia njia gani Kupanga vituo kwa wale wanaobahatika kuingia DATABASE yao.Je hutumia njia ya kumtoa wa kwanza kuwekwa au wanapick randomly au wanawapanga in acsending order wa marks za juu ndo atakaeanza kutoka haijarishi lini amewekwa kwenye DATABASE?!!

Mfano; Candidate wa kwanza kafanya usaili mwezi wa 5 na alipa 80 akafanikiwa kuwekwa kwenye DATABASE na Candidate mwingine kawekwa mwezi wa 7 ila alipata 90 hizi ni saili tofauti mwezi wa 9 ikatokea nafasi yupi ataanza kuwa first consider.
Navyojua anaeingia wa kwanza ndiye anawahii kutoka na wanapiki kuanzia maksi za juu
 
FIFO.

First in First Out.

Mimi nimeingia database wa nane.

Ila kuwa watu wa kada yangu walifsnya mwezi wa sita oral walipiga kama 80 tangia mwaka huu naona wao tu ndo wanaitwa.

Sisi wa mwezi wa nane hawajagusa hata Mmoja.
 
Ujinga gani mnafanyisha watu interview zaidi ya moja na hamtoi Placement , mwaka huu unaisha .
Upuuzi pro max
 
Back
Top Bottom