Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kuna mwanangu kalamba asali, injinia wa madini alikuwa kipanga kweli kweli o-level na advance aliweka div 1 ya 7 PCM. Sema ujobless ulimnyoosha apa katikati. Tusikate tamaa wadau. Mie kwenye data base yangu naona wamenyofoa wawili Leo na tulikuwaga 159 😁😁 kwenye oral. Kada ilikuwa committee clerk.
 
Mlifanya lini mkuu
 
Back
Top Bottom