Kaizer Agusto
Member
- Jul 20, 2023
- 53
- 107
Huko ni kwema, imani yangu barua zipo nyingi sana andaeni nauli muda wowote mambo yatakua
AmenHuko ni kwema, imani yangu barua zipo nyingi sana andaeni nauli muda wowote mambo yatakua sawa
Huko ni kwema, imani yangu barua zipo nyingi sana andaeni nauli muda wowote mambo yatakua
AmenHuko ni kwema, imani yangu barua zipo nyingi sana andaeni nauli muda wowote mambo yatakua sawa
popoa.hata leo nilikua mbezi mwisho magufuli stand pale nilikua nasubiri IT ajichanganye tu niingie ofisi za shabiby..... 🤣 🤣Huko ni kwema, imani yangu barua zipo nyingi sana andaeni nauli muda wowote mambo yatakua sawa
MmmHili ni swali la kuanzia interview, kuonyesha mtanange umeanza ila halina marks. Nimeongea na HR wameniambia hivyo
Vp mzee na ww umekandwa leo hapo dodoma nnIla kukandwa
Vp mzee na ww umekandwa leo hapo dodoma nn
Pole sana mzee , pia hongera.Ndio Mkuu, kiukweli oral kupita ni kazi ngumu sana, bora nisubiri placement kwa oral yangu ya mwaka jana Dodoma sirudi tena labda waniuwe
sio pakwenda kule labda kama una ela za mchezo.. 🤣 🤣Ndio Mkuu, kiukweli oral kupita ni kazi ngumu sana, bora nisubiri placement kwa oral yangu ya mwaka jana Dodoma sirudi tena labda waniuwe😆😆
Ukifanya oral jipe matumaini lolote laweza tokea, narudia lolote laweza tokea hata kupitia databaseNdio Mkuu, kiukweli oral kupita ni kazi ngumu sana, bora nisubiri placement kwa oral yangu ya mwaka jana Dodoma sirudi tena labda waniuwe😆😆
Huyo jamaa hata sio mtu wetu😄, anatumalizia bando tuIT mtu wetu achia hyo PDF
Mkuu ulpotea sana..Nimetoka kupitia convo za mwanangu IT ambaye saiv ni kibaraka wa MAMA SHAMTE... kwakweli ile BACHELOR aliyonayo inatakiwa ijazwe WISDOM,SELF ESTEEM,SELF RESPECT ukweli ujobless unachosha,unakatisha tamaa ila isifike pahala ukajisuuza kwa watu wakakumaliza kwamba huyu ni RAJABU ni mzaliwa wa AKASHOMI (Kagera) anaenda taasisi A kazi B mshahara C katoka familia D kaishi maisha E.....inshort humu kuna watu wengi wapo watakaokuwa wanahusika na (UTUMISHI) “nahisi sina hakika” wanaweza hisi kwamba uyu mwajiriwa mpya ataweza kutunza Siri za serikali hasa iki kitengo chake? Inshort FURAHA ikizidi ni kama TAA ya GARI kuiungia umeme wa TANESCO.......nakumbuka nlivoitwa interview niliomba kuuliza baadhi ya maswali humu ndani ili niyafahamu kwa kina “HUYUHUYU NDO ALIENAMBIA NINA WENGE KWAKUA NLIKUA NAJIELEZA SANA, SASA LEO HII NAANGALIA HAYA MAGAZETI ALIYOYACHAPISHA UMU NDANI nabaki kusema ALLAHUMA AMIN Mungu akamtangulie JOBLESS wetu na nnatamani nipate picha yake alivokua amekosa kujiamini MTAANI KWAKEsijui alikua anafananaje (JOKES)
famchezo nnNimetoka kupitia convo za mwanangu IT ambaye saiv ni kibaraka wa MAMA SHAMTE... kwakweli ile BACHELOR aliyonayo inatakiwa ijazwe WISDOM,SELF ESTEEM,SELF RESPECT ukweli ujobless unachosha,unakatisha tamaa ila isifike pahala ukajisuuza kwa watu wakakumaliza kwamba huyu ni RAJABU ni mzaliwa wa AKASHOMI (Kagera) anaenda taasisi A kazi B mshahara C katoka familia D kaishi maisha E.....inshort humu kuna watu wengi wapo watakaokuwa wanahusika na (UTUMISHI) “nahisi sina hakika” wanaweza hisi kwamba uyu mwajiriwa mpya ataweza kutunza Siri za serikali hasa iki kitengo chake? Inshort FURAHA ikizidi ni kama TAA ya GARI kuiungia umeme wa TANESCO.......nakumbuka nlivoitwa interview niliomba kuuliza baadhi ya maswali humu ndani ili niyafahamu kwa kina “HUYUHUYU NDO ALIENAMBIA NINA WENGE KWAKUA NLIKUA NAJIELEZA SANA, SASA LEO HII NAANGALIA HAYA MAGAZETI ALIYOYACHAPISHA UMU NDANI nabaki kusema ALLAHUMA AMIN Mungu akamtangulie JOBLESS wetu na nnatamani nipate picha yake alivokua amekosa kujiamini MTAANI KWAKEsijui alikua anafananaje (JOKES)
unawazidi sana maarifa wa chini( diploma) ukifanya nao interview. Pambana na rika lako( degree). By utumishiKinachouma kuwa ajira portal ni kwamba kwa mfano wewe una leseni ya udereva, diploma ya uhasibu na digrii ya rasilimali watu; umezibainisha kwenye akaunti yako,
Ujue hapo kazi utayoruhusiwa kuomba ni ya digrii ya rasilimali watu tu,
zingine za chini huwezi kuomba kabisa.
- Wakitangaza kazi za udereva, unakosa vigezo,
- Wakitangaza kazi za uhasibu wa ngazi ya diploma, napo huna vigezo, kwa sababu tu una digrii.
Mkuu ulpotea sana..
Pole mkuu.jipange tena mkuu.Ndio Mkuu, kiukweli oral kupita ni kazi ngumu sana, bora nisubiri placement kwa oral yangu ya mwaka jana Dodoma sirudi tena labda waniuwe