mavumbamakasha
JF-Expert Member
- Aug 18, 2020
- 207
- 384
Swali halina marks hili!Tell us about yourself!
Swali halina marks hili!Tell us about yourself!
hakuna swali halina marksSwali halina marks hili!
Hili ni swali la kuanzia interview, kuonyesha mtanange umeanza ila halina marks. Nimeongea na HR wameniambia hivyohakuna swali halina marks
Tena ya ndege🤣kwaiyo IT nikakatage tiketi kabisaa au..
Mshaanza vitisho sasa.Swali halina marks hili!
Kwamba Yale manne Kila Moja lina makisi 25?Hili ni swali la kuanzia interview, kuonyesha mtanange umeanza ila halina marks. Nimeongea na HR wameniambia hivyo
Hakuna kisichokuwa na marks..,hadi kuvaa kuna marks.Kwamba Yale manne Kila Moja lina makisi 25?
Uko sahihiHakuna kisichokuwa na marks..,hadi kuvaa kuna marks.
jobless mstaafu masjala ya wazi wanasemaje..??IT achia pdf hilo jobless wafurahi
Nani kakwambia?Swali halina marks hili!
Hr wa wapi huyo?Hili ni swali la kuanzia interview, kuonyesha mtanange umeanza ila halina marks. Nimeongea na HR wameniambia hivyo
Wazee mnaionaje PEPMIS
Huko ni kwema, imani yangu barua zipo nyingi sana andaeni nauli muda wowote mambo yatakua sawajobless mstaafu masjala ya wazi wanasemaje..??