El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 1,250
- 3,023
😆 😆Mimi najisahaulisha kama nimefanyaje interview ila ubongo unakataa
😆 😆Mimi najisahaulisha kama nimefanyaje interview ila ubongo unakataa
mtaani tukiiba kuku tunafungwa tufanyaje sasa.au tuaze kutembeza icecream za vijiti..Mtu kuaplai hadi kuitwa interview inatumia hadi Miezi mitatu kuitwa kazini miezi mitatu.
Mchakato wa ajira unatumia miezi 6 kweli.
Serikalini Kuna kitu kinaitwa maagizo.PSRS wanayaona maombi yetu....naona watalifanyia kazi tu na hili... Kikubwa ni kuforce agenda...ili wanna wapate michobgo woteView attachment 2795876
Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Hivi mchongo wa kuhamia Hazina unapatikanaje?TEMESA nishawahi kuona watu wamepangiwa kazi kule mwaka huu.
Hazina pia nishawahi kuona watu wamepangiwa kazi
Acha uduanziAcha taasisi ziajiri wenyewe
dahh nimechekaAcha uduanzi
Wameshindwa kaziAcha uduanzi
Hivi mchongo wa kuhamia Hazina unapatikanaje?
#YNWHivi mchongo wa kuhamia Hazina unapatikanaje?
#YNWA
Tafuta Godfather mzee
Anataka kuturudisha nyumadahh nimecheka
Taasisi ziajiri wenyeweAnataka kuturudisha nyuma
Zikiajiri zenyewe kazi wewe hupati.Taasisi ziajiri wenyewe
yaani utumishi wamefanya majobless tuwe na bando 24/7
Namshkuru Sana ,Mungu KATIKA mkeka uliyotoka Jana na mim nimefanikiwa kulamba asali ,nikutoka Database,aiseeh ,tujitahidi kuomba Mungu na kuhudhuria usahili PSRS ,wakati wa Mungu ni sahihi.
NJAA YAKO ILIYOTUMBONI, JITAHIDI KUIZUIA ISIHAMIE KICHWANI. . !Taasisi ziajiri wenyewe
Anayeweza kuifuta ni Admin wa website yao, na wala sio weweSiku nikipata Placement nafuta na Ile account Yao ,Maana itakuwa inanikumbusha machungu ya kusubiri Placement
Sina ABC zake mkuu zaidi ya kujua kuwa, inabidi ujue kuwa muna nafasi then uombe kwa taratibu za kiutumishi (hii ni njia ya fair play)Hivi mchongo wa kuhamia Hazina unapatikanaje?
#YNWA
Sioni kama waliomshauri mshikaji wana maana kama unayomanisha hapa. pili ,inaonekana wewe ni mgeni wa sahili za TRA, TANROD, IMMIGRATION NK bila maelekezo ni ngumu sana kutoboa , ndio maana anashauriwa aende PSRS . Ila hajalazimishwa
Sioni kama waliomshauri mshikaji wana maana kama unayomanisha hapa. pili ,inaonekana wewe ni mgeni wa sahili za TRA, TANROD, IMMIGRATION NK bila maelekezo ni ngumu sana kutoboa , ndio maana anashauriwa aende PSRS . Ila hajalazimishwa
Acha maneno Bro mnatukatisha tamaa ambao hatunaga ndg Serikalini tushindwe kwenda kutetea nafasi zetu.Sioni kama waliomshauri mshikaji wana maana kama unayomanisha hapa. pili ,inaonekana wewe ni mgeni wa sahili za TRA, TANROD, IMMIGRATION NK bila maelekezo ni ngumu sana kutoboa , ndio maana anashauriwa aende PSRS . Ila hajalazimishwa
Sasa Oral Tra tar 8 written MDA tar 5..
Nadhani nyie mmetoka kumaliza chuo juzi hamuwajui TRA,BOT,EWURA NA TANAPA NA TANROADS Kwenye masuala ya ajira