Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Habari ya asubuhi wanajamvi,

TRA wameshatoa mkeka. Mliobado pitieni huu hapa👇👇
 

Attachments

  • MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA - MAMLAKA YA MAPATO TANZANIA (TRA).pdf
    9.4 MB · Views: 2
  • IMG-20231021-WA0000.jpg
    IMG-20231021-WA0000.jpg
    289.1 KB · Views: 7
Wadogo zetu na wengine ambao mnapambania ajira tunaomba walau mrejesho kuhusu TRA ili tuweze kuanza kujenga matumaini na haya mabadiliko kama ni kweli yanatija.

Nitafurahi nikiona members wa muda mrefu wakitoa shuhuda zao kuanzia Oral na mpaka kuitwa kazini hii itajenga imani na kufufua matumaini baada ya wasiwasi mkubwa uliotanda. Maana tusijetukashangaa kuna ID mpya za kutosha zinatoa shuhuda.

Lengo letu sio kuyatazama vibaya mabadiliko lakini kama ni kweli wakaamua kufanya hujuma wanaweza wakajipanga kuziba kelele za kila kona, ikiwemo kuweka watu mitandaoni watakaosifia mfumo wa sasa ili kuonekane hakuna tatizo.
 
653,200/= Noma sana.
Vizuri sana sasa hapo piga hesabu ya bachelor
1. Kula 6000*30= 180000
2. Nauli 2000*30= 60000
3. Kodi kwa mwezi = 100000
4. Umeme, maji = 30000
5. Kingamuzi = 20000
6. Sabuni, dawa ya meno, mafuta = 30000
7. Vocha 30000
8. Matunda kwa mwezi 20000
NB.
A. Nguo, viatu, soksi
B. Kupooza koo
C. Kuaidia wazazi
D. Sadaka kanisani
E. Kutuma ya kutolea
Hapo hapo unataka kununua kiwanja ujenge.
 
Vizuri sana sasa hapo piga hesabu ya bachelor
1. Kula 6000*30= 180000
2. Nauli 2000*30= 60000
3. Kodi kwa mwezi = 100000
4. Umeme, maji = 30000
5. Kingamuzi = 20000
6. Sabuni, dawa ya meno, mafuta = 30000
7. Vocha 30000
8. Matunda kwa mwezi 20000
NB.
A. Nguo, viatu, soksi
B. Kupooza koo
C. Kuaidia wazazi
D. Sadaka kanisani
E. Kutuma ya kutolea
Hapo hapo unataka kununua kiwanja ujenge.
Utajenga ukishafukiwa Chini huwezi iba Ila usikamatwe, wenzako wana miaka 24 wamemaliza shule/Chuo baada ya mwaka na miezi 10 wanamiliki nyumba yenye vyumba sita, usijiulize wamewezaje?
 
Vizuri sana sasa hapo piga hesabu ya bachelor
1. Kula 6000*30= 180000
2. Nauli 2000*30= 60000
3. Kodi kwa mwezi = 100000
4. Umeme, maji = 30000
5. Kingamuzi = 20000
6. Sabuni, dawa ya meno, mafuta = 30000
7. Vocha 30000
8. Matunda kwa mwezi 20000
NB.
A. Nguo, viatu, soksi
B. Kupooza koo
C. Kuaidia wazazi
D. Sadaka kanisani
E. Kutuma ya kutolea
Hapo hapo unataka kununua kiwanja ujenge.
Usipokuwa makini unaenda jela!!
 
Back
Top Bottom